Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom

Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili tusiwe na hivyo viashiria vya njaa
Huu uzi bila picha ya mleta mada bado ni smartphone bila bando
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwan shangazi hawezi kukupa alicho nacho mwenye 21, embu msitutenge huko
Na hatuwaachi, tumechoka kelele zenu
shangazi ana stress za vikoba na mikopo kausha damu maokoto yanakuwa mengi mpaka tozo ndani yake wakati 21 ni nauli tu na chips πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…