Hapa km Kuna ka ukweli hv🤔Ukiwa kazini tunakusaidia majukumu
Kabisa mkuu🤣🤣🤣Unaweza kuambiwa hata hewa imeisha
Hakika mkuuHata ukienda sokoni ukinunua nae kila kitu vya wiki nzima, af akaacha chengi ya 3000, hapo mezani ataitafutia matumizi m siku hiyo hiyo. Kuka na kiumbe mke inahitajika maturity ya hali ya juu wanawake wamejaa vitimbi.
Yaani muda wote mtu unakuwa Roho juu juuSukari na mchele vimeisha...
Kwann viishe nikiwepo tu?Sasa kama vimeisha usiambiwe jamani🙆♂️🙆♂️
1 Petro 3:7Hata ukienda sokoni ukinunua nae kila kitu vya wiki nzima, af akaacha chengi ya 3000, hapo mezani ataitafutia matumizi m siku hiyo hiyo. Kuka na kiumbe mke inahitajika maturity ya hali ya juu wanawake wamejaa vitimbi.
Mkuu Bado hujajibu hoja mbona nikiwa kazini vinatosha?Umaskini kaka 😊 nyumbani kwa ROSTAM aziziiii sidhani kama mambo madogo madogo kama hayo yanasumbua sumbua
Mkuu ushaurii wanguu TUTAFUTE HELAAAA...TAFUTA HELAAA
sisiemu wamevamia nyumba yakoSalam bandugu
Je umeshakutana na hii?
Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?
Ss mbona yeye mke ndo naona anakaa Kwa akili na Mimi?1 Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; maana wao pia ni warithi wa neema ya uzima, ili maombi yenu yasizuiliwe na chochote.
Ni suala la muda tu😂Unaweza kuambiwa hata hewa imeisha
Hizo ndogo mkuu Kuna mdau kasema unaeza ambiwa hata hewa imeishaKazi kweli kweli,ukiwa na mwanamke mbali ndo balaa,siku unamtembelea andaa karibia laki 2
Wewe ndo umeliruhusu hiloSs mbona yeye mke ndo naona anakaa Kwa akili na Mimi?
- Twist kidogo utaratibu.wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo?
Unaona mambo hayo sasaNi raha eti kumuomba mume hela.
Mi hata kama ninayo, naomba hela ya kununua kiberiti!
Mkuu, ukiwa na ukwasi wa kutosha huwezi kutana na izo CHANGAMOTO maana unatatua na huweziii kujilalamisha.Mkuu Bado hujajibu hoja mbona nikiwa kazini vinatosha?