Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

Nyumbani kwa kulala. Ukianza kushinda nyumbani mtakosana tu. We ipige nyau sepa nenda kakae mtaani mpaka muda wa kulala
 
bado hatakosa cha kuombea hela!
Sa hata ni nying kwanii?
Hem wapeni jamani!
 
Atakuwa anaangalia unayo hiyo akili kweli
 
Mwanamke anaishi na mwanaume kimkakati sana
Hawacheki na kima kama wanaume kutwa kujaribu kumfurahisha mwanamke huku wakiwachora
Akishazaa hata mtoto mmoja ndo ujue vitimbi vinaongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…