Bora hivyo kuliko kushinda na mtu ambaye hakupi nafasi hata ya kuingia jf. Muda wote ni kusema hiki kimeisha sijui nani kapiga simu tumezozana, mara unajua muda wq kulipa ada umekaribia yaani full kelelehuko mnakoenda mnaenda kupoteza hela nyingi kuliko ile ambayo mke angeomba nyumbani!
KABISA!Mpe tu, kuna ka furaha flani ka kimamlaka unapoombwa pesa na mkeo. Halafu huwa hawaombi pesa nyingi... Ni chenj cheji zile ndogo ndogo
sawa sawa! Asante kwa ushauri.Huyo anayekuomba chenji ndogondogo mng'ang'anie sanaaa!
Then kuna mahali hamzungumzi vitu vya msingi!Bora hivyo kuliko kushinda na mtu ambaye hakupi nafasi hata ya kuingia jf. Muda wote ni kusema hiki kimeisha sijui nani kapiga simu tumezozana, mara unajua muda wq kulipa ada umekaribia yaani full kelele
Asante kwa somo hili, ila unakuta una stress zako so unahitaji utulivu na kuwa pekee au usisemeshweThen kuna mahali hamzungumzi vitu vya msingi!
Lakini kwanini mnataka kuishi na wanawake kama vile mnaishi na wanaume wenzenu majumbani kwenu?
Mwanamke kwa asili anaongea tu!
Ogopa mwanamke ambaye hazungumzi.
Au alikuwa anazungumza akagundua unampuuza akaamua kunyamaza!
Sijui lakinI!
kila mtu ana namna yake ya tafsiri!
mim mara nyingi nikiwa home anaelalamika ni waifu kwamba nikiwa nyumbani kazi zake za nyumbani haziendi anakuwa mvivu. Hio ikoje mama,.. Ni kweli mkiwa na waume zenu siku hiyo shughuli hamfanyi kwa ufanisi?KABISA!
mwanaume akiwa nyumbani kila kitu kipo ndani huwezi ghafla ukaomba eti kitu cha laki 3 kimeisha!
sio kweli!
Communicate!Asante kwa somo hili, ila unakuta una stress zako so unahitaji utulivu na kuwa pekee au usisemeshwe
si baba yuko nyumbani!mim mara nyingi nikiwa home anaelalamika ni waifu kwamba nikiwa nyumbani kazi zake za nyumbani haziendi anakuwa mvivu. Hio ikoje mama,.. Ni kweli mkiwa na waume zenu siku hiyo shughuli hamfanyi kwa ufanisi?
Mkuu hapo ni idealistic wake zetu umwambie you need some quite time hapo ndo umevuruga kila kitu....wakwangu anakuuliza sasa unataka mimi niongee na nani?Communicate!
Mawasiliano yakiwa mapema yenye clarity sidhani kuna mtu anataka migogoro iso na msingi ndani kwake!
So pengine hajui unapitia nn!
Au weka hata 10,00 mezani isort some stuffs za hapa na pale ajue tu ipo!
We kaa zako kimya mwambie u need some quite time
Sema kibongo bongo tunajuaga mwanaume akisema anahitaji utulivu ndo tunazidi kuuliza kuna nn au utaskia ushagombana na hawara zako!
Anyways wote tujiboreshe!
si unaona nimejikosoa mwenyewe hapo chini!Mkuu hapo ni idealistic wake zetu umwambie you need some quite time hapo ndo umevuruga kila kitu....wakwangu anakuuliza sasa unataka mimi niongee na nani?
Au sio😄si baba yuko nyumbani!
Needs extra care.
Kuna sijui chai ya baba, sijui baba kamwita sijui baba anasema uende mara moja, na ile tu Dume lako liko nyumbani obvious utataka kukaa pembeni.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Communicate!
Mawasiliano yakiwa mapema yenye clarity sidhani kuna mtu anataka migogoro iso na msingi ndani kwake!
So pengine hajui unapitia nn!
Au weka hata 10,00 mezani isort some stuffs za hapa na pale ajue tu ipo!
We kaa zako kimya mwambie u need some quite time
Sema kibongo bongo tunajuaga mwanaume akisema anahitaji utulivu ndo tunazidi kuuliza kuna nn au utaskia ushagombana na hawara zako!
Anyways wote tujiboreshe!
Af hata unafkri tunamaanisha!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anauliza michepuko yako ishakuruga kumbe wakati huo siku iyo kazini kupo vururu vururu
Mimi nikiwa home najifunikaga tu shuka ataomba wewee jibu la mwisho ntamwambia pika unachokiona kwa wakati huo regardless
NYie wanawake mnamakelele sana
Upo we dada,siku nyingi sijaona mwandiko wako humu.😀😀Naomba kama una alf tatu mia tano babe? (na unafikiri tunaombaga nying?)
Ya nini?
Jamani naomba tuuu!
Noma sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anauliza michepuko yako ishakuruga kumbe wakati huo siku iyo kazini kupo vururu vururu
Mimi nikiwa home najifunikaga tu shuka ataomba wewee jibu la mwisho ntamwambia pika unachokiona kwa wakati huo regardless
NYie wanawake mnamakelele sana
Hapana, nitakaa home na watoto wanguNenda bar au kijiweni kama wewe siyo mnywaji
Daah hii mm kabisa aisee😳Duu wanawake sijui wanamatatizo gani mfano mimi huwa sikai nyumbani pesa na tuma ya matumizi ya mwezi mzima.
Sasa kipindi cha likizo hata nikirudi katikati ya mwezi naanzia hapo kuombwa pesa ya matumizi hadi naondoka. Wakati pesa ya matumizi ya mwezi mzima nilishampatia.
Niiipo kipenzi.Upo we dada,siku nyingi sijaona mwandiko wako humu.😀😀