Mwenzangu tumepiga umbea hapa hadi basi.Ila sisi wambea ni baadae sana kukamatwa labda tuwaseme waheshimiwa.
Anaenda polisi kushtaki kua kuna watu wanamsema kwa uongo huku JF halafu akina Max ndio wanabanwa watoe taarifa zako shoga!
Hapo ndio kesi inaenda mahakamani kama ni mwenzangu na mimi huna hata pesa ya faini unaenda segerea.
Zaidi ya janga sijui ni nani aliwadaganya kuwa weupe ndo uzuri na dili kama weupe ungekua deal aisee ubuyu usingekua una pakwa rangi yani kuna waliojichubua mashavu mekundu hadi kinyaa michirizi sasa.
Ooohhhh kwa hiyo kina Max wanajua sie tupo wapi wote humu waliojiunga jf
Uwiiiiiii! Umenikumbusha shangingi moja la magomeni jamani kuna siku nililiona kwa ukaribu nilisikia kinyaa hadi nikashindwa kula kwa jinsi alivyojichubua!
Yaani ujue mwili uko kama karatasi ile mishipa inavyoonekana....uwiiiii kama rais angekua hajasaini ule muswada ningemtaja kwa jina kabisa!
Kwa nini isipitishwe sheria ya kutojichubua mfyuuuuuu
Ushamuona mke wa fella utacheka mpaka basiii kama jini

Ha haaaaaa chakushangaza siku hizi hadi wamama watu wazima wanatumia mikorogo hafu bado wanatembea juani mikorogo yenye ya kichina wanatisha ka nini?
😡😡 Diva leo naona leo umeamua kunifanya nisile dinner yangu kabisaaa!
Jamani ukikaa uswahilini utachoka maana ukimuona mtu usoni (kama ndio anaanza) anang'aaje? Muangalie mikono na miguu alivyo na madoa kama kenge sasa!
Ila kuna watu wanajichubua kidigitali mwenzangu wala hawatishi kama akina Kajala!
Uwiiiiiii! Umenikumbusha shangingi moja la magomeni jamani kuna siku nililiona kwa ukaribu nilisikia kinyaa hadi nikashindwa kula kwa jinsi alivyojichubua!
Yaani ujue mwili uko kama karatasi ile mishipa inavyoonekana....uwiiiii kama rais angekua hajasaini ule muswada ningemtaja kwa jina kabisa!
Ila hii kali kasaini tarehe ngapi....ujumbe ulitolewa na waziri aliyeenda kwenye uvumbuzi wa kitabu cha chozi cha charity. Wameandika kwenye gazeti sijui lipi
Kula basi weye ni kweli hasa wa uswahili ndo wanaongoza hizo mambo za kitaulo kwa kwenda mbele akianza kweli ana shine ngoja ianze madhara yake ngozi nyepesi hadi mishipa inaonekana kwenye vidole kwenye magoti na makalio mkorogo hudunda sijui kwanini aisee.
Hao wanaojichubua kidigitali wanatumia mikorogo first class kama ya kina Beyonce ambayo wabongo wengi hawawezi Ku afford gharama yake hata upatikanaji ni shida. Naskia wanatumia Colgate na maji ya Betri.
warumi please ni PM your id huko insta nikufollow :becky:Mwenzangu yamenikuta uko insta wewe hadi nimebadilisha ID na nimeweka private watu wananitafuta kwa udi na uvumba mmh ni shidaa umbea huu hatr tutakufa mwaka huu, ila msijal wambea wenzangu nikikamatwa nitakuwa shujaa na nyie msiache umbea uko tudumisheni umbea mpaka kifo kitakapotupata hahahah ahaha
Tmmmhhh mbona hata wema anapaka sana make up,zari ni mrembo tu hata wamsemeje jamaniiii
Ujue mi nlikuwa nahangaika kujua who's behind of ol ds madness???bt ulipotaja imelda duh yan
baaaass nshapata jib, coz huyu dada ni type ya walala hoi wanaoendeshwa na njaa zao na si taaluma zao