Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Malalamiko ya nini? Nani kakutuma uombe huo msaada kama huutaki? Jitegemee vinginevyo ukila vya mwanaume mwenzio kubali nawe kuliwa.Hawa wazungu inatakiwa wawe na dabu kwenye mila,tamaduni na desturi zetu haiwezekani kutupa misaada kwa kuvunja utu wetu. Hivi baba mwenye nyumba upewe msaada ili mradi tu uruhusu mwanao awe shoga?
Rejea somo la historia. Isitoshe wangekuwa hawatuhitaji wangetulazimisha sheria zetu ziliruhusu ushoga!!Haya twambie wewe unaye jua
Bakuli la nyumbani kwako hutegemea majirani.Vipi nyinyi bakuli linajazwa na nani?
Anayetembeza bakuli hayo mambo matatu hayazingatii kamwe. Kila wakati atakuwa akilalamika kuonewa.Kwahiyo kutembeza bakuli kupo kwenye kundi gani hapo juu?
Kwani Wajerumani nao walitaka tuinamishane?Wacha wajitoe wote tuone hii umbabe wa jiwe utamufikisa wapi, hakuna mtu pubavu katika hii dunia kaa yule mtu anafikiria anajua kila kitu.
Next itakuwa USA
haaaaaaaa pls tengenezeni mazingira safi ya foreing investors, good laws, good gorverance,good political climate, and then tunakuja, infact hamuhitaji misaada, no no no tunataka kuja kuwekeza ndio tuwape watu ajira nao walipe ushuru ndio serikali ipate hela, hivyo ndivyo taifa husomga mbele kimaendeleo, hakuna taifa ambalo lisawahi kutajirika kwa kupewa hela ya bure, tangu mupate uhuru hapo miaka ya 60s bado mko miongoni wa mataifa masikini zaidi hapa duniani licha ya misaada ambao tunawapa sisi westerners, so tumechoka tinataki kuwaoyesa jinsi ya kuwa taifa tajiri mkuuHerr Muller, ongea na Wajerumani wenzako, tunawahitaji kwa misaada yenu
haaaaaaaaaaaaa sijakuelewa mkuuKwani Wajerumani nao walitaka tuinamishane?
Kwani Wajerumani nao walitaka tuinamishane?
Si wakubwa wanadai EU wanasema tuinamishane kwanza ndio tusaidiwe?haaaaaaaaaaaaa sijakuelewa mkuu
Mkuu hivi unajua Bima ya KFW imeokoa maisha ya kina mama wajawazito na watoto kwa kiasi gani??? Daaaah so sad kwakweliWaondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Anayetembeza bakuli hayo mambo matatu hayazingatii kamwe. Kila wakati atakuwa akilalamika kuonewa.
Utakuwa sasa unajua ni kundi gani la WaTz, na viongozi wao, ambao hulalamika na sasa wanalialia ati EU inakata misaada. Na wewe ni mmoja wao?
hakuna anayetaki muiname la kabisa, ile kitu tunataka ni kuwe na haki za binadamu, mukifanya hayo , tutawasaidiaSi wakubwa wanadai EU wanasema tuinamishane kwanza ndio tusaidiwe?
Tukumbushane kidogo deni la Taifa limefika kiasiga vile?" NCHI YETU NI TAJIRI HATUBABAISHWI "
mjomba huko hata tusiende .Tukumbushane kidogo deni la Taifa limefika kiasiga vile?
Waende tuLile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.
Hilo ni pigo kwa nchi yetu.
Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.