Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Tatizo unafikiria kinyumenyume
Mtu anakusaidia halafu anakuibia kisilence ukimwambia hapana kuniibia eti anajikasirisha! Sasa hapo hujang'amua tu?!
 
Na hao ndiyo walio wengi hapa
 
Shibe imekulevya mkuu, fikiria mama aliyeko makutupora huko....anaweza kuropoka hayo unayoropoka!!!?
 
Kwa ujumla kuna haja ya kukaa meza moja na hawa wadau wa maendeleo kutolea ufafanuzi na misimamo ya nchi kwenye baadhi ya hoja kwani hakuna lisilozungumzika kama hawataki hata majadiliano basi wasepe tu na hela zao maana watakua na nia mbaya na sisi kwani wasidhani pia kuwa wao wanaakili sana na sisi hatuna kiasi cha wao kutuamlia kila wanachojisikia.
 
Dona kantri pale fentifodi
 
Hawa wazungu inatakiwa wawe na dabu kwenye mila,tamaduni na desturi zetu haiwezekani kutupa misaada kwa kuvunja utu wetu. Hivi baba mwenye nyumba upewe msaada ili mradi tu uruhusu mwanao awe shoga?
Kwaiyo maazimio yote kumi tano yamezungumzia ushoga tu...ukiwa ccm sijui akili unaisahau wapi...[emoji52]
 
Wacha kurudia kudanganya na kama huna uhakika ni bora ukanyamaza
 
Unalipa kodi kiasi gani wewe. Biashar zimedorora , zingine zinafungwa. Ukenge huu
Hizo biashara zilikuwa kichekesho kodi ilikuwa hawalipi, bingwa wa kutengeneza mahesabu bandia, the weakest must die and the stronger will survive. Kama biashara zilikuwa zinalipa kodi kiasi hicho kwa nn tuliendelea kusaidiwa na wahisani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…