Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Hamia huko huna kazi ya kufanya fedha zote za ndege tutaweka huko ,huna jipya.
 
Waondoke tukaze mkanda, vya bure vinaua wanaboa sana na misaada yao
 
Tazama ulipo jikwaa na siyo ulipo angukia
 
We we ndiyo kiongozi wa wa nchi au mpiga kelele kama hao wengine?
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Akili mgando sana hizi kufikiria nchi isaidiwe ndo isonge mbele. Rais kasma anahitaji nchi iache kutegemea misaada
 
Pole sana,siyo kosa lako, ni ujinga wako ndo unakusumbua,even the US is dependable on small nations, ije kuwa nyie kunguru pori?
Mtakiona cha moto
 

Misaada ikiondoka watakaoumia ni wewe na wenzako walalahoi; siyo hawa wanaokekejeli kila sauti ya kutaharadhisha.
 
katika rekodi tunaweka kama siku ambayo Chadema waliungana na watesi wetu
 
Nafikiri hii ndio sustainability inayohitajika kwa Taifa tuweze kupiga hatua hata kama ni kidogo kidogo kwa step.
 
Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Tuliaga mdau kabla ya kuandika kwa nn unakuwa na mizuka bajet ya afya inakidhi kote?au ndo hoya hoya tu
 
Reactions: mmh
Tanzania ilikuwepo kabla ya kuasisiwa kwa EU! Ukishajua Kati ya kuku na yai nani alitangulia then hupati tabu! Labda ajitoe Mungu!
 
Reactions: mmh
mie nahisi tutafute mpango wa kustopisha hii hali,Tanzania ingekua kwenye uchumi wa kati tungewaacha waende ,ila bajeti yetu I was told inategemea misaada 40%..sasa hapa itakuwaje kila mtu akiondoka,....watanzania tuache ujeuri wa kijinga,watu watakufa kama kuku waliopatwa kideri...tusaidiane mawazo
 
Mtu anakusaidia halafu anakuibia kisilence ukimwambia hapana kuniibia eti anajikasirisha! Sasa hapo hujang'amua tu?!
Walikuwa wanawaibia miku......ndu yenu!???,Maaana agenda yao ni ushoga na tulipokataaa ndo wanasepa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…