Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Mleta uzi aweke na 7bu walizosema zimewafanya wajitoe
 
Kuna tofauti kati ya propaganda na maisha halisi.
 
Halo ndio wewe muongo unasemawatarudi kufadhili 2018 dah Magufuli kaponzwa na ma Makonda
 
Chadema shangilieni sasa
Ccm ya Magufuli donor country ha ha jeshi ni kwenyewe anadai Wapeleke gawio how jeshi ni service wanapelekaje pesa hazina ngoja siku wamlaze mazima hata nyama isionekane
 
Wacha wajitoe wote tuone hii umbabe wa jiwe utamufikisa wapi, hakuna mtu pubavu katika hii dunia kaa yule mtu anafikiria anajua kila kitu.

Next itakuwa USA
Siku yaja utalamba matapishi yako, wazungu si wajomba zako kaa uelewe.
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Waondoke tu na waende na tutabana mpk wakome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…