Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Uzoefu unaonyesha miradi mingi iliyoachwa tuiendeleze ilikufa. Mingi ya hii miradi tunaichukuliaga kama ya wazungu si ya kwetu na wengi hujitahidi kutafuta upenyo “kupiga” hata wakati ambao miradi inaendeshwa na donars wenyewe. Mifano ipo mingi kuanzia miradi ya kilimo na umwagiliaji hadi miradi ya afya… kuweza kuendelea pale walipotuachia inabidi kujikana haswa na ikiwezekana “kutandikana bakora” haswa ku instill nidham na uwajibikaji…
Lazima tutie akili na uwajibikaji kwa mradi sensitive kama huu wa Damu Salama. Hakuna mbadala wake. Ni lazima uwajibikaji uendelee na kufanya vizuri pia.
 
Najaribu kuwaza uhusiano kati ya watoto wengi na umaskini na pili kwann matajir unakuta ana mtoto mmoja ama wawil au hana kabisa?

MASIKINI NA WANANGU EU NA PESA ZAKE...
Mzee kasema fetueni watasoma bure vengineee mwachie baba
 
Hahahahahahaha, anayeongea hayo maneno let them go, hata kiwanda cha kutengeza sindano hana..hahaha

Acha kupiga porojo hapa jukwaani ili watu wakuone umechangia ili hali wewe mwenyewe ukikaa na kufanya tafakuri unajua umuhimu wa hao wajamaa mnaowaita mashoga/wanaopenda kulazimisha ushoga kama msemavyo.

Ulikaa na kufanya tafakuri ya kujua kwamba hata awamu zilizopita zilihamasishwa ili ziwe na ndoa za jinsi moja lakini hatimaye walikataa,je unaweza kuniambia baada ya hao marais wa kaumu zilizopita kabla ya JPM waliwezaje kupata mikopo toka kwa hao mashoga juu ya kukaidi agizo?

Nasubiri kusikia toka kwako mkuu
Mpaka siku wakiondoka woote ndio tutaweza kujitegemea, tumeishi kwenye the so called donors aid comfort zone ndio maana tunashindwa kujitegemea hata kwenye mambo madogo kama kununua vyandarua, let them go, na tutasimama
 
Kwa nini wanajitoa?

Wameeleza kwa kirefu sana kwenye Azimio la Bunge la Ulaya kwa nini wanajitoa.

Kama hujui kwa nini wanajitoa basi hujafuatilia suala hili toka mwanzo na hupaswi kuseme lolote, maana hujui chochote kuhusu kinachoelendelea nchini kinachoishangaza na kuifedhehesha dunia.
 
Hahahahahahaha, anayeongea hayo maneno let them go, hata kiwanda cha kutengeza sindano hana..hahaha

Acha kupiga porojo hapa jukwaani ili watu wakuone umechangia ili hali wewe mwenyewe ukikaa na kufanya tafakuri unajua umuhimu wa hao wajamaa mnaowaita mashoga/wanaopenda kulazimisha ushoga kama msemavyo.

Ulikaa na kufanya tafakuri ya kujua kwamba hata awamu zilizopita zilihamasishwa ili ziwe na ndoa za jinsi moja lakini hatimaye walikataa,je unaweza kuniambia baada ya hao marais wa kaumu zilizopita kabla ya JPM waliwezaje kupata mikopo toka kwa hao mashoga juu ya kukaidi agizo?

Nasubiri kusikia toka kwako mkuu
We nae walewale tu nnaona umeanza kutangaza biashara haramu
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
tuna pesa zetu😂 ( kwa sauti ya bichwa)!
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Hivyi hiyo misaada sijui EU or USA wanayotoa ni kwa ajili ya mwananchi AU ni kwa ajili ya Rais,? Kwa Nn wawe na conflict na Rais pamoja na serikali yake lkn wanawaadhibu wananchi? Sikubaliani na Mambo furahi ya uvunjifu wa haji za binadam wa serikali ya jiwe...lkn EU/USA have their own agenda. Due to that even their reasoning is just like a baby and possibly even the baby has a better reasoning than them.
 
hutaweza kuwaelewa mkuu, muda wa kuelewa bado!
 
Pride itawaua wakuu,Africa nchi nyingi hazikubali mashoga lakini kwani mnaona wakifatwa??? Kitendo cha kuwasaka watu hao majumbani ni extreme violation ya privacy za watu,,,tukubali tulikosea,,,na aliyeanzisha hio search ange step down kuliokoa Taifa,by the way mmeshikwa pabaya maanake ziko hoja zaidi ya kumi lakini hio ya ushoga ndio top,imemeza nyingine zote,je mnaweza kuzitenga hizo hoja nyingine na ushoga zikawa separate ?? The answer is NO,eti mtakubali MUINAMISHANE ili iwe proof kuwa mna Hehimu haki za binadamu😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊😊😊??????

Anyway I’m glad mmpo katika hii position at least Rais atajifikiria mara mbili maanake alikua anaenda kwa speed kubwa,Mbowe na mwenzie wako Jela na hatujui labda km sio kubanwa majanga yangeendelea kuwa mengi
 
Napenda jina lako tu Rebecca..sijui kama ndo jina lako halisi!?
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
wambieni waondoke si ndio mushapeleka mapendekezo hata mcc walikata lakini umeme vijini unaendelea kwa kasi ya ajabu
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
kumbe tetesi
 
Endelea kubeti
 
Tutaendesha huduma za mama na mtoto kwa fedha zetu wenyewwe.Tutaongeza kodi ili kufidia bajeti.Tuna akina ya kutosha.
 
Kuna mipuuzi inasimamisha mishipa ya kiuno na kujidai haihitaji misaada ya mabeberu.Subiri miezi sita tu waganga wa kienyeji watakavyochukua nafasi ya mabeberu na kuwapaka wagonjwa dawa kwa makojoleo.
 
Back
Top Bottom