Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ngano inatoka Ukraine mbona husemi mlime yenu?Tutengeneze mbolea wenyewe. Tunakwama wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngano inatoka Ukraine mbona husemi mlime yenu?Tutengeneze mbolea wenyewe. Tunakwama wapi?
Hauruhusiwi kutengeneza kutokana na sera za ukijaniTutengeneze mbolea wenyewe. Tunakwama wapi?
Hivi Putin zaidi ya ku kumbatia madikteta amefanya lipi la muhimu Tanzania?Huu ni utoto kugombana na mtu halafu kulazimisha na jamaa zako wengine wawekeane bifu nae. Crazy shit indeed.
Mwenda zake alitufumbua macho tujitegemee lakini watu waliona kama anatutesa. na kututenga na duniaEU hawana la kutufanya, ujinga ni wetu sisi waafrika, ni kuamua sisi tuzalishe mbolea au tununue, hatujashikiwa akili na EU, tumezishika akili zetu wenyewe.
Tulikuwa na mzalendo, yeye akaona akanunue ndege, tena kwa kulipa cash,Kukiwa na viongozi wazalendo haya hayataweza kutokea. Bado tunajiita nchi huru?
Kwani tulivijenga sisi ndugu? Ama tulirithishwa na wazungu na tukashindwa hata kuvifanya vidumu, ipo shida Africa!Tulikuwa na kiwanda cha mbolea Tanga, kimekufa kwa sababu ya siasa chafu za kifisadi,
Kama awamu ya kwanza waliweza kujenga kiwanda, sasa hivi wanashindwa nini?
Ameongeza bajeti kutoka kwenye hela ipi? Inayotoka wapi?Ujinga na ubinafsi wa watawalawetu ndio utatugharimu sana.
Angalau Mama ameongeza budget ya kilimo kwa record.
Kilimo, Afya,na Elimu ndio roho ya nchi.
Africa tuki weza kupambana vizuri hapo tunatoboa wenyewe.
Huyo ni fala tu kama mafala wengine wa afrika. Anatumika na nchi za Ufaransa kuhujumu msumbiji na kufadhilu M23 ambayo inavuna madini Congo .Nimependa juzi PK aliwachana makavu kwenye mkutano CommonWealth kwamba waliwagawa wananchi wake nakusababisha Genocide nyambafu zao pua ndefu>>>>>>>>>>
Thubutuuu..EU should stop fucken colonial mentality, Africa is a free continent it will trade with any part of the world it wishes without being interrupted by any Nation , Eu should wake up from a deep sleep they created crises around the globe and they are now suffering ., they are not self sufficient in all aspects of human needs.
40% of oil and gas dependency , how can you ran your industries without reliable source of energy , how can you impose sanctions without calculating its consequence's?????? that's just fucken crazy decisions.....
Mkuu Acha kulalama, hakuna nchi inayojitosheleza kimahitaji,hata tajiri huazima, USA mwenyewe anategemea mbolea ya urusi ijekuwa afrika?Ni ujinga wa viongozi wa Africs. Hivi ni nini kinayashinda mataifa ya Africa kutengebeza mbolea zao?
Watawala wetu ndio huamua badala yetuEU hawana la kutufanya, ujinga ni wetu sisi waafrika, ni kuamua sisi tuzalishe mbolea au tununue, hatujashikiwa akili na EU, tumezishika akili zetu wenyewe.
RUBBISH!! What is this dictatorship again! that, we have to act like westeners! Think like westerners! suffer like westerners at the expense of PUTIN!! damn shit!Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea.
Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja ya hatua ya kumfungia zaidi Rais Putin.
Hali hii inaweza kuleta ugumu zaidi kwa mataifa ya Afrika ambayo kilimo chake bado hakijawa vizuri.
===
In an attempt to encourage African nations to stop buying Russian fertilizer, the European Union developed a working plan that would help then develop their own fertilizer plants.
The draft, dated June 15 and prepared by aides of European Council President Charles Michel, was to be presented at a summit of EU leaders last week, however the EU Commission then "explicitly opposed the text," warning that supporting fertilizer production in developing nations was incompatible with their 'green' initiatives.
According to Reuters, the original text of the draft conclusions from the June 23-24 summit, the EU executive commission is urged to devise a plan "to support the development of fertiliser manufacturing capacity and alternatives in developing countries".
The Commission, however, urged governments to change the text so that it would only promote alternatives to fertilizers - or a more efficient use of fertilizers, as manufacturing it themselves would be "inconsistent with the EU energy and environment policies."
Higher fertilizer prices have been putting upward pressure on food prices worldwide, as farmers cut back on nutrients for their crops, resulting in lower yields.
"Many people will not use fertilizers at all, and this as a result, lowers the quality of the production and the production itself, and slowly, slowly at one point, they won't be able to farm their land because there will be no income," said Greek farmer Dimitris Filis, who grows olives oranges and lemons, adding "you have to search to find" ammonium nitrate, while the cost of fertilizing a 25-acre olive grove has doubled.