EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea.

Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja ya hatua ya kumfungia zaidi Rais Putin.

Hali hii inaweza kuleta ugumu zaidi kwa mataifa ya Afrika ambayo kilimo chake bado hakijawa vizuri.
===

In an attempt to encourage African nations to stop buying Russian fertilizer, the European Union developed a working plan that would help then develop their own fertilizer plants.

The draft, dated June 15 and prepared by aides of European Council President Charles Michel, was to be presented at a summit of EU leaders last week, however the EU Commission then "explicitly opposed the text," warning that supporting fertilizer production in developing nations was incompatible with their 'green' initiatives.

According to Reuters, the original text of the draft conclusions from the June 23-24 summit, the EU executive commission is urged to devise a plan "to support the development of fertiliser manufacturing capacity and alternatives in developing countries".

The Commission, however, urged governments to change the text so that it would only promote alternatives to fertilizers - or a more efficient use of fertilizers, as manufacturing it themselves would be "inconsistent with the EU energy and environment policies."

Higher fertilizer prices have been putting upward pressure on food prices worldwide, as farmers cut back on nutrients for their crops, resulting in lower yields.


"Many people will not use fertilizers at all, and this as a result, lowers the quality of the production and the production itself, and slowly, slowly at one point, they won't be able to farm their land because there will be no income," said Greek farmer Dimitris Filis, who grows olives oranges and lemons, adding "you have to search to find" ammonium nitrate, while the cost of fertilizing a 25-acre olive grove has doubled.
Ila Putin ni jeshi la mtu mmoja, yaani anaifanya Dunia nzima inahaha??
 
Hivi andiko limesema wanampango wa kuzuia Africa kununua mbolea ya Russia au walikuwa na kusudio la kutengeneza sera ya kuisadia Africa kupunguza utegemezi wa mbolea ya Russia.

Mpango ulikuwa umejikita kukopesha hela za kujenga viwanda vya mbolea. Sasa kwa sababu kiwanda cha mbolea akijengwi kwa siku moja clearly this is a long term strategy ya kuisaidia africa; kwa njia ya kujenga viwanda vyao kwanza.

Kuna mdaku anaona hiyo sio sera nzuri at least in wording considering EU policy stance kwenye mazingira. Kama bara EU ndio inaongoza kwenye implementation ya makubaliano ya sera za mazingira; alikadhalika (viwanda vya mbolea ni amongst biggest polluters wa mazingira)

Sasa kwa bara linalojinasibu kuwa mstari wa mbele kupunguza CO2 emmisions; halafu bunge lake lije hadharani na sera inayosema itawasaidia watu wajenge viwanda vya mbolea hiyo wording ndio imemfanya mwenyekiti kutaka kuona maudhui ya hiyo sera yanaandikwa kwa mtindo mwingine.

Aina maana kwa hela yako watakuzuia kujenga kiwanda cha mbolea wala wao kuwa na mpango wa kuzuia nchi za africa kununua mbolea ya urusi in the meantime; lengo ni kusaidia kupunguza utegemezi wa hiyo mbolea in the long run.

In other words they are thinking on our behalf hayo mambo tulitakiwa kufikiria sisi wenyewe in terms of supply ya kutegemea sehemu moja kwa kiwango kikubwa ikilupuka kwa vita madhara yake sio madogo.
 
EU hawana la kutufanya, ujinga ni wetu sisi waafrika, ni kuamua sisi tuzalishe mbolea au tununue, hatujashikiwa akili na EU, tumezishika akili zetu wenyewe.
Kwani Kigwangala alisemaje kwenye ile video kuhusu kwanza kujaza matumbo ??!!!
 
Kama AU na viongozi wake wataafiki huu upumbavu basi Afrika tuna viongozi wapumbavu sana ambao hawana fure, wako tu kama mifugo isiyo na plan
 
Mabeberu majinga sana. Tatizo la Africa ni ufisadi tu, AU waite mkutano kukemea EU kupangiana maisha ya kuishi.
UFISADI NI SHIDAAA !!! HATA OLUSEGUN OBASANJO ALILIONA HILO !! LAKINI ALILISEMA HILO WAKATI AMESHAMALIZA MUHULA WAKE KAMA RAIS WA NIGERIA !!!
 
Kazi sasa kwa serikali kuhakikisha kiwanda cha mbolea cha Minjingu kinapata ushirikiano wote ili kizalishe na kusambaza mbolea maeneo yote Tanzania na ziada kuuzwa nje.

20 February 2017
Majaliwa akerwa mbolea ya Minjingu kupewa lebo ya Kenya


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema haridhiki na hali aliyoikuta kwenye kiwanda cha kutengeneza mbolea cha Minjingu baada ya kubaini kuwa wanatumia mifuko yenye lebo ya Kenya wakati mbolea hiyo inazalishwa hapa nchini Tanzania.

Pia eneo la Minjingu ndiyo eneo pekee Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika inapopatikana madini ya phosphate.

Umeona hayo maneno ?? Kiwanda hicho ni cha tangu enzi za Mwalimu Nyerere, but nobody cares about it !! Hata mifuko ya kuwekea mbolea ina label ya Kenya !! Salaaaleeh!!
 
Tusipangiane
 

Attachments

  • Russia_in_Tanzania_20220308_1.mp4
    8 MB
Toka Maktaba online
15 November 2010

Minjingu Mbolea wanajipanga kuzalisha :

Ubinafsishaji na maendeleo Mgodi wa mbolea Minjingu 1​




Uzalishaji NPK minjingu mazao , Vumbivumbi, chenganchepp n.k

Mbolea tani 120,000 uzalishaji wake utatosheleza mahitaji ya wakulima. Mitambo ya Minjingu ina thamani ya dola za kimarekani milioni saba na laki mbili. Madini ya phosphate yalivumbuliwa eneo la Minjingu mwaka 1956.

Madhara ya mazingira hakuna hapa Minjingu uthibiti wa vumbi na moshi umezingatiwa. Kujazia mashimo ya mgodi na kupanda miti inafanyika ili kulibakiza eneo likiwa la kijani lenye miti.

Malighafi inatoka yote inatoka minjingu. Furnace oil ndiyo pekee itaagizwa kutoka nje ili kuifanya mbolea iwe nzitonzito.

Malighafi ya phosphate inapatikana kwa wingi eneo la Mijingu na kuna phosphate ya kutosha kuzalisha mbolea kwa miaka takribani 100 ijayo.

Minjingu ndiyo eneo pekee lenye madini ya phosphate eneo la Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika.



Usambazaji wa mbolea hupitia mawakala wa mbolea ktk mtandao wa mawakala ktk wilaya zote.

Source : herryndabaga

Minjingu ipo Tanzania? Mkoa gani? Wilaya gani?
 
Nchi za jumuiya ya madola- Nchi zilizokuwa makoloni ya uingereza. (Muunganiko wa) Ili ?

Kulipiza kisasi?
Kuendelea kuwa makoloni?

Duck us
 
Hizo fedha cash Sasa hivi zimeenda wapi?BiTozo kila siku kiguu na njia kuomba na kukopa kila mahali. Je,jiwe alikuwa anatumia fedha sake mwenyewe?
Serikali haikusanyi kodi kwa matajiri ila inakusanya kodi kwa walalahoi, kwaiyo lazima itakopa sana ilikuweza kujihudumia.
 
should stop fucken colonial mentality, Africa is a free continent it will trade with any part of the world it wishes without being interrupted by any Nation ,
Africans sholud blame themselves for electing leaders who are not visionary and patriotic to their nations. When in power they serve their personal interests and not of the nations they lead.

The African leaders embrace dependency and don't utilize the plenty resources we have to amass wealthy that will redress challenges facing the continent.
 
Nimependa juzi PK aliwachana makavu kwenye mkutano CommonWealth kwamba waliwagawa wananchi wake nakusababisha Genocide nyambafu zao pua ndefu>>>>>>>>>>
PK atueleze ni nani alidungua ndege iliyobeba Marais wawili waliokuwa wakitokea Tz na kurejea katika nchi zao? Huyo ndio muasisi wa genocide
 
Back
Top Bottom