EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

Ameongeza bajeti kutoka kwenye hela ipi? Inayotoka wapi?
Inayotoka hukohuko kwa haohao 😆
tunawekewa mitego ya mikopo tunaingia wazimawazima.

Hapo ndio unajiuliza hivi kweli hatuwezi kujitegemea????

Tukiacha ufisadi kila mtumishi akitosheka na mshaharawake hatuwezi kusonga mbele.!!!!
 
Sasa hapa ndio tujue urusi ni taifa teule, sasa ndio wakati wa waafrika kufungua bongo zetu kufahamu wazungu hasa hawa wanaojiita wamagharibi ni mashetani
Yeye mwenyewe ana hali mbaya, kama ni mwanaume akaipige Uingereza au Marekani
 
Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea.

Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja ya hatua ya kumfungia zaidi Rais Putin.

Hali hii inaweza kuleta ugumu zaidi kwa mataifa ya Afrika ambayo kilimo chake bado hakijawa vizuri.
===

In an attempt to encourage African nations to stop buying Russian fertilizer, the European Union developed a working plan that would help then develop their own fertilizer plants.

The draft, dated June 15 and prepared by aides of European Council President Charles Michel, was to be presented at a summit of EU leaders last week, however the EU Commission then "explicitly opposed the text," warning that supporting fertilizer production in developing nations was incompatible with their 'green' initiatives.

According to Reuters, the original text of the draft conclusions from the June 23-24 summit, the EU executive commission is urged to devise a plan "to support the development of fertiliser manufacturing capacity and alternatives in developing countries".

The Commission, however, urged governments to change the text so that it would only promote alternatives to fertilizers - or a more efficient use of fertilizers, as manufacturing it themselves would be "inconsistent with the EU energy and environment policies."

Higher fertilizer prices have been putting upward pressure on food prices worldwide, as farmers cut back on nutrients for their crops, resulting in lower yields.

"Many people will not use fertilizers at all, and this as a result, lowers the quality of the production and the production itself, and slowly, slowly at one point, they won't be able to farm their land because there will be no income," said Greek farmer Dimitris Filis, who grows olives oranges and lemons, adding "you have to search to find" ammonium nitrate, while the cost of fertilizing a 25-acre olive grove has doubled.
Hizo ni porojo zao labda watamtisha Shelisheli ila hapa Tanzania tayari kiwanda kinaanza kuzalisha mbolea mwezi wa 7 👇
Screenshot_20220621-200752.png
Screenshot_20220621-200818.png
Screenshot_20220621-200921.png
 
Hivi Putin zaidi ya ku kumbatia madikteta amefanya lipi la muhimu Tanzania?
Sisi wenyewe tumeshindwa kufanya la muhimu mtu baki ndiyo aje atufanyie vitu muhimu, na Maendeleo ya Africa yataletwa na wa Africa wenyewe, mkuu husiwe na mawazo ya kuletewa maendeleo na Wageni, wageni wanakuja Afica kutafuta utajiri kwaajiri ya vizazi vyao.
 
Tulikuwa na mzalendo, yeye akaona akanunue ndege, tena kwa kulipa cash,

Wanannchi hawana vipaumbele bali kiongozi huamua anavyojiskia.

Ukikosoa utashambuliwa na chawa wake kama sio kubambikizwa kesi au kupotea kabisa,
Sasa mkuu ulitaka akakope ndege au ulitaka atoe pesa robo robo wakati cash ipo? mkononi kwanini wa Tanzania tuna penda vitu vya bure bure
 
Sisi wenyewe tumeshindwa kufanya la muhimu mtu baki ndiyo aje atufanyie vitu muhimu, na Maendeleo ya Africa yataletwa na wa Africa wenyewe, mkuu husiwe na mawazo ya kuletewa maendeleo na Wageni, wageni wanakuja Afica kutafuta utajiri kwaajiri ya vizazi vyao.
Swali nimelielekeza kwa pro Russians wa Tanzania ambao wanatukuza uvumizi haramu wa Putin Ukraine. Pamoja na hilo dunia kijiji ,washirika wa maendeleo muhimu kabisa.
 
Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea.

Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja ya hatua ya kumfungia zaidi Rais Putin.

Hali hii inaweza kuleta ugumu zaidi kwa mataifa ya Afrika ambayo kilimo chake bado hakijawa vizuri.
===

In an attempt to encourage African nations to stop buying Russian fertilizer, the European Union developed a working plan that would help then develop their own fertilizer plants.

The draft, dated June 15 and prepared by aides of European Council President Charles Michel, was to be presented at a summit of EU leaders last week, however the EU Commission then "explicitly opposed the text," warning that supporting fertilizer production in developing nations was incompatible with their 'green' initiatives.

According to Reuters, the original text of the draft conclusions from the June 23-24 summit, the EU executive commission is urged to devise a plan "to support the development of fertiliser manufacturing capacity and alternatives in developing countries".

The Commission, however, urged governments to change the text so that it would only promote alternatives to fertilizers - or a more efficient use of fertilizers, as manufacturing it themselves would be "inconsistent with the EU energy and environment policies."

Higher fertilizer prices have been putting upward pressure on food prices worldwide, as farmers cut back on nutrients for their crops, resulting in lower yields.

"Many people will not use fertilizers at all, and this as a result, lowers the quality of the production and the production itself, and slowly, slowly at one point, they won't be able to farm their land because there will be no income," said Greek farmer Dimitris Filis, who grows olives oranges and lemons, adding "you have to search to find" ammonium nitrate, while the cost of fertilizing a 25-acre olive grove has doubled.
Mbona Marekani ananunua Mbolea kutoka Urusi?
 
Toka Maktaba online
15 November 2010

Minjingu Mbolea wanajipanga kuzalisha :

Ubinafsishaji na maendeleo Mgodi wa mbolea Minjingu 1​

Uzalishaji NPK minjingu mazao , Vumbivumbi, chenganchepp n.k

Mbolea tani 120,000 uzalishaji wake utatosheleza mahitaji ya wakulima. Mitambo ya Minjingu ina thamani ya dola za kimarekani milioni saba na laki mbili. Madini ya phosphate yalivumbuliwa eneo la Minjingu mwaka 1956.

Madhara ya mazingira hakuna hapa Minjingu uthibiti wa vumbi na moshi umezingatiwa. Kujazia mashimo ya mgodi na kupanda miti inafanyika ili kulibakiza eneo likiwa la kijani lenye miti.

Malighafi inatoka yote inatoka minjingu. Furnace oil ndiyo pekee itaagizwa kutoka nje ili kuifanya mbolea iwe nzitonzito.

Malighafi ya phosphate inapatikana kwa wingi eneo la Mijingu na kuna phosphate ya kutosha kuzalisha mbolea kwa miaka takribani 100 ijayo.

Minjingu ndiyo eneo pekee lenye madini ya phosphate eneo la Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika.

Usambazaji wa mbolea hupitia mawakala wa mbolea ktk mtandao wa mawakala ktk wilaya zote.

Source : herryndabaga
 
Ujinga na ubinafsi wa watawalawetu ndio utatugharimu sana.

Angalau Mama ameongeza budget ya kilimo kwa record.

Kilimo, Afya,na Elimu ndio roho ya nchi.
Africa tuki weza kupambana vizuri hapo tunatoboa wenyewe.
FOREIGN AID, ikiwemo mikopo ndio inatufanya tunakuwa wanyonge na vibaraka. Samia Suluhu ndio sababu kubwa ya unyonge huu.

Spika Ndugai hakuwa mwema sana lakini kwenye hili alijaribu kumwambia Rais Samia. Tukamlaani, tukaamua kwenda na njia za depency syndrome za Samia Suluhu.

Samia Suluhu ndoto yao kule Zanzibar ni kusubiri kwenye mikeka vibarazani Mwarabu aje awajengee nchi bure siku moja wawe kama Dubai au Oman. Ndio uzembe na uvivu wa kufikiri anaotaka kutuletea na huku Bara.

Pombe Magufuli sijui aliona nini kwa huyu dada yarabi. Tumeisha.
 
Kazi sasa kwa serikali kuhakikisha kiwanda cha mbolea cha Minjingu kinapata ushirikiano wote ili kizalishe na kusambaza mbolea maeneo yote Tanzania na ziada kuuzwa nje.

20 February 2017
Majaliwa akerwa mbolea ya Minjingu kupewa lebo ya Kenya

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema haridhiki na hali aliyoikuta kwenye kiwanda cha kutengeneza mbolea cha Minjingu baada ya kubaini kuwa wanatumia mifuko yenye lebo ya Kenya wakati mbolea hiyo inazalishwa hapa nchini Tanzania.

Pia eneo la Minjingu ndiyo eneo pekee Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika inapopatikana madini ya phosphate.
 
21 December 2021
BASHE APIGA ZIARA KIWANDA CHA MBOLEA, AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU MBOLEA...

Naibu waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe Leo Desemba 21,2021 jijini Dodoma amefanya ziara katika kiwanda Cha Mbolea Cha Intracom Fetelizar Cha mwekezaji kutoka Nchini Burudi lengo likiwa ni kuona Kwa sasa maendeleo ya kiwanda hicho Akiwa kwenye kiwanda hicho Naibu Waziri Mhe.Bashe amesema kuwa mikataba yote ya usambazaji wa Mbolea utafanywa na Watanzania na Serikali itahakikisha inasimamia shughuli hiyo "Contract ya kusambaza samadi hatutarajii ifanywe na mtu kutoka njee ni lazima ifanywe na Watanzania na sisi kama Wizara na Serikali tutalinda uwekezaji wa Itracom kama ambavyo tunavyolinda Sasa hivi uwekezaji wa yule Bwana wa Minjingu"amesema Mhe.Hussein Bashe Aidha Mhe.Bashe amewaagiza wataalamu kutoka Wizara ya kilimo kuwashirikisha wazalishaji na wanunuzi wa tumbaku ili kujua ni namna gani ya matumizi sahihu ya Mbolea ya tumbaku
 
Toka maktaba

3 November 2021
Dodoma, Tanzania

Kilichojiri katika hafla za kutia jiwe la msingi kwenye ujenzi wa kiwanda #ITRACOM#Dodoma

Fuateni dondoo ya kilichojiri katika hafla za kutia jiwe la msingi kwenye ujenzi wa kiwanda #ITRACOM Fertilisers Limited #Dodoma mji wa kisiasa #Tanzania. Fuateni hutuba zilizotolewa katika kipindi hiki #Mashariki_TV iliwandalieni. ITRACOM GROUP ndiyo imeanzisha ujenzi wa kiwanda cha mbolea na chokaa Itracom Fertilisers Limited mjini Dodoma. Kiwanda hicho kitajengwa kwa biliyoni 400 sarafu ya #Burundi, na kuwa na uwezo wa kuzalisha tani 600000 za mbolea na tani 300000 za chokaa kwa mwaka. Kiwanda kitatoa ajira kwa watu wapatao 10000. Sherehe hizo alihudhuria pia na Raïs wa Jamhuri ya Burundi Evariste NDAYISHIMIYE.

Source : Mashariki TV
 
Tutanunua india basi wafurahi

Utawala wa serikali ya CCM hautakiwi kuwa na visingizio vyovyote, kwa kuwa viwanda na mgodi wa phosphate vyote vipo Tanzania hata kabla ya vita ya Ukraeni-Russia.

Hapa ndipo tutapima uwezo wa kiuongozi wa serikali ya CCM kuifanya mikakati iliyopo ktk majalada kibao kabatini , tafiti ktk vituo / vyuo , sera, maazimio ya bajeti ya kilimo na viwanda vilivyopo ndani ya hansard za Bunge la CCM ndiyo wakati muafaka umefika kugeuza matamanio ya wabunge wa CCM yawe kuzalisha mbolea kwa wingi badala ya kuagiza mbolea toka nje .
 
19 April 2021

PROF. ADOLF MKENDA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA MINJINGU AWASIHI KUONGEZA UZALISHAJI.

Serikali bado inaagiza mbolea, ila ina mkakati wa kuondokana na utegemezi huo wa mbolea toka nje na sasa kutoa upendeleo kwa viwanda vya ndani. Hayo yamejiri katika ziara ya,waziri alipotembelea kiwanda cha kisasa kabisa chenye uwezo wa kuzalisha mbolea nyingi kutosheleza mahitaji ya ndani ya nchi kilichopo Minjingu, Manyara Tanzania .
Source : Kilimo TV
 
Tuliwaruhusu wao kushika mpini sisi tukabaki na makali matokeo yake ndio haya, maskini bara la Giza
 
EU Wamzuie kwanza marekani (Basha wao)

Aliewaondolea Raia wake vikwazo kwenye kuagiza na kuimport mbolea ya urusi[emoji28]
 
Back
Top Bottom