Hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa?Serikali ipo tayari kutoa ruzuku kwenye mafuta ya diesel/petrol lakini siyo mafuta ya taa,inaweza kupunguza pension kutoka 50% hadi 33% na siyo kuongeza kuwa 51-75% au 100% kwa kisingizio cha uhimilivu Wa mifuko badala ya kuipa mifuko hiyo ruzuku ili kuwaendeleza watumishi waliotumika hadi wakazeeka.Serikali haikusanyi kodi kwa matajiri ila inakusanya kodi kwa walalahoi, kwaiyo lazima itakopa sana ilikuweza kujihudumia.
CCM hawawezi kumhurumia Mtanzania yeyote asiye mwanachama pendwa Wa chama chao.