EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

Gesi asilia ndio malighafi kuu ya kutengeneza fertilizer. Vita vya Putin ni fursa kwa Tanzania kuwekeza kwenye kiwanda cha mbolea. Afrika imebarikiwa ardhi tosha ya kilimo.Bila shaka siku za usoni itakuwa mzalishaji mkuu wa vyakula. Makes great business sense kuwekeza kiwanda cha mbolea.
 
Tulikuwa na kiwanda cha mbolea Tanga, kimekufa kwa sababu ya siasa chafu za kifisadi,
Kama awamu ya kwanza waliweza kujenga kiwanda, sasa hivi wanashindwa nini?
 
Kukiwa na viongozi wazalendo haya hayataweza kutokea. Bado tunajiita nchi huru?
Tulikuwa na mzalendo, yeye akaona akanunue ndege, tena kwa kulipa cash,

Wanannchi hawana vipaumbele bali kiongozi huamua anavyojiskia.

Ukikosoa utashambuliwa na chawa wake kama sio kubambikizwa kesi au kupotea kabisa,
 
Tulikuwa na kiwanda cha mbolea Tanga, kimekufa kwa sababu ya siasa chafu za kifisadi,
Kama awamu ya kwanza waliweza kujenga kiwanda, sasa hivi wanashindwa nini?
Kwani tulivijenga sisi ndugu? Ama tulirithishwa na wazungu na tukashindwa hata kuvifanya vidumu, ipo shida Africa!
 
Eti "The Commission, however, urged governments to change the text so that it would only promote alternatives to fertilizers - or a more efficient use of fertilizers, as manufacturing it themselves would be "inconsistent with the EU energy and environment policies."

Kana kwamba uhai na ustawi wa Mwafrika una ubia na mzungu wa EU. Ni vile tu huko nyuma tulishindwa kuinusa hila yao iliyojificha but kwa leo hii na baada ya kuona waziwazi malengo yao kama tukirubunika kwa kila wanachojadili kuhusu Afrika basi damu ya watoto wetu na vizazi vyetu itatulaanai kwa umaskini huu wa kujiendekeza.
 
Ujinga na ubinafsi wa watawalawetu ndio utatugharimu sana.

Angalau Mama ameongeza budget ya kilimo kwa record.

Kilimo, Afya,na Elimu ndio roho ya nchi.
Africa tuki weza kupambana vizuri hapo tunatoboa wenyewe.
Ameongeza bajeti kutoka kwenye hela ipi? Inayotoka wapi?
 
Tutununueni, hapa ndio tutajua viongoziAfrika wapo au tuna picha tu. Waache misaada yao, lkn wajue No raw materials wanazopata huku.
Twende hivyo hivyo

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nimependa juzi PK aliwachana makavu kwenye mkutano CommonWealth kwamba waliwagawa wananchi wake nakusababisha Genocide nyambafu zao pua ndefu>>>>>>>>>>
Huyo ni fala tu kama mafala wengine wa afrika. Anatumika na nchi za Ufaransa kuhujumu msumbiji na kufadhilu M23 ambayo inavuna madini Congo .
Alihitajika kifo. Muasisi wa mauaji ya kimbali

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ilo baraza la EU mbona wanataka kupangiwa Africa mambo yao ? Inakuwaje tena hapo
 
Thubutuuu..
 
Ni ujinga wa viongozi wa Africs. Hivi ni nini kinayashinda mataifa ya Africa kutengebeza mbolea zao?
Mkuu Acha kulalama, hakuna nchi inayojitosheleza kimahitaji,hata tajiri huazima, USA mwenyewe anategemea mbolea ya urusi ijekuwa afrika?

Hapa Chakulaumu ni nchi za afrika kukubali kuwa na nchi za kuwasemea na kuwafanyia maaumuzi, ningekuwa Mwenyekiti wa AU ningepinga Hilo tamko, na mbolea ingenunuliwa toka urusi tena kwa rubbles.
 
EU hawana la kutufanya, ujinga ni wetu sisi waafrika, ni kuamua sisi tuzalishe mbolea au tununue, hatujashikiwa akili na EU, tumezishika akili zetu wenyewe.
Watawala wetu ndio huamua badala yetu
 
RUBBISH!! What is this dictatorship again! that, we have to act like westeners! Think like westerners! suffer like westerners at the expense of PUTIN!! damn shit!
"We are no longer your DOGS"--quote Patrick Lumumba.
You African presidents stop being NATOs lapdogs! We are used to suffering let us suffer but not through punishing PUTIN.

Putin is the true friend of AFRICA and AFRICANS! we are now in the process of knowing this hard fact!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…