Inayotoka hukohuko kwa haohao 😆Ameongeza bajeti kutoka kwenye hela ipi? Inayotoka wapi?
Sasa hapa ndio tujue urusi ni taifa teule, sasa ndio wakati wa waafrika kufungua bongo zetu kufahamu wazungu hasa hawa wanaojiita wamagharibi ni mashetaniKaidi uone? nusu ya budget inatemea misaada toka Ulaya, ERV za kwao n.k
Yeye mwenyewe ana hali mbaya, kama ni mwanaume akaipige Uingereza au MarekaniSasa hapa ndio tujue urusi ni taifa teule, sasa ndio wakati wa waafrika kufungua bongo zetu kufahamu wazungu hasa hawa wanaojiita wamagharibi ni mashetani
Hizo ni porojo zao labda watamtisha Shelisheli ila hapa Tanzania tayari kiwanda kinaanza kuzalisha mbolea mwezi wa 7 👇Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea.
Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja ya hatua ya kumfungia zaidi Rais Putin.
Hali hii inaweza kuleta ugumu zaidi kwa mataifa ya Afrika ambayo kilimo chake bado hakijawa vizuri.
===
In an attempt to encourage African nations to stop buying Russian fertilizer, the European Union developed a working plan that would help then develop their own fertilizer plants.
The draft, dated June 15 and prepared by aides of European Council President Charles Michel, was to be presented at a summit of EU leaders last week, however the EU Commission then "explicitly opposed the text," warning that supporting fertilizer production in developing nations was incompatible with their 'green' initiatives.
According to Reuters, the original text of the draft conclusions from the June 23-24 summit, the EU executive commission is urged to devise a plan "to support the development of fertiliser manufacturing capacity and alternatives in developing countries".
The Commission, however, urged governments to change the text so that it would only promote alternatives to fertilizers - or a more efficient use of fertilizers, as manufacturing it themselves would be "inconsistent with the EU energy and environment policies."
Higher fertilizer prices have been putting upward pressure on food prices worldwide, as farmers cut back on nutrients for their crops, resulting in lower yields.
"Many people will not use fertilizers at all, and this as a result, lowers the quality of the production and the production itself, and slowly, slowly at one point, they won't be able to farm their land because there will be no income," said Greek farmer Dimitris Filis, who grows olives oranges and lemons, adding "you have to search to find" ammonium nitrate, while the cost of fertilizing a 25-acre olive grove has doubled.
Sisi wenyewe tumeshindwa kufanya la muhimu mtu baki ndiyo aje atufanyie vitu muhimu, na Maendeleo ya Africa yataletwa na wa Africa wenyewe, mkuu husiwe na mawazo ya kuletewa maendeleo na Wageni, wageni wanakuja Afica kutafuta utajiri kwaajiri ya vizazi vyao.Hivi Putin zaidi ya ku kumbatia madikteta amefanya lipi la muhimu Tanzania?
Sasa mkuu ulitaka akakope ndege au ulitaka atoe pesa robo robo wakati cash ipo? mkononi kwanini wa Tanzania tuna penda vitu vya bure bureTulikuwa na mzalendo, yeye akaona akanunue ndege, tena kwa kulipa cash,
Wanannchi hawana vipaumbele bali kiongozi huamua anavyojiskia.
Ukikosoa utashambuliwa na chawa wake kama sio kubambikizwa kesi au kupotea kabisa,
Swali nimelielekeza kwa pro Russians wa Tanzania ambao wanatukuza uvumizi haramu wa Putin Ukraine. Pamoja na hilo dunia kijiji ,washirika wa maendeleo muhimu kabisa.Sisi wenyewe tumeshindwa kufanya la muhimu mtu baki ndiyo aje atufanyie vitu muhimu, na Maendeleo ya Africa yataletwa na wa Africa wenyewe, mkuu husiwe na mawazo ya kuletewa maendeleo na Wageni, wageni wanakuja Afica kutafuta utajiri kwaajiri ya vizazi vyao.
Mbona Marekani ananunua Mbolea kutoka Urusi?Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea.
Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja ya hatua ya kumfungia zaidi Rais Putin.
Hali hii inaweza kuleta ugumu zaidi kwa mataifa ya Afrika ambayo kilimo chake bado hakijawa vizuri.
===
In an attempt to encourage African nations to stop buying Russian fertilizer, the European Union developed a working plan that would help then develop their own fertilizer plants.
The draft, dated June 15 and prepared by aides of European Council President Charles Michel, was to be presented at a summit of EU leaders last week, however the EU Commission then "explicitly opposed the text," warning that supporting fertilizer production in developing nations was incompatible with their 'green' initiatives.
According to Reuters, the original text of the draft conclusions from the June 23-24 summit, the EU executive commission is urged to devise a plan "to support the development of fertiliser manufacturing capacity and alternatives in developing countries".
The Commission, however, urged governments to change the text so that it would only promote alternatives to fertilizers - or a more efficient use of fertilizers, as manufacturing it themselves would be "inconsistent with the EU energy and environment policies."
Higher fertilizer prices have been putting upward pressure on food prices worldwide, as farmers cut back on nutrients for their crops, resulting in lower yields.
"Many people will not use fertilizers at all, and this as a result, lowers the quality of the production and the production itself, and slowly, slowly at one point, they won't be able to farm their land because there will be no income," said Greek farmer Dimitris Filis, who grows olives oranges and lemons, adding "you have to search to find" ammonium nitrate, while the cost of fertilizing a 25-acre olive grove has doubled.
FOREIGN AID, ikiwemo mikopo ndio inatufanya tunakuwa wanyonge na vibaraka. Samia Suluhu ndio sababu kubwa ya unyonge huu.Ujinga na ubinafsi wa watawalawetu ndio utatugharimu sana.
Angalau Mama ameongeza budget ya kilimo kwa record.
Kilimo, Afya,na Elimu ndio roho ya nchi.
Africa tuki weza kupambana vizuri hapo tunatoboa wenyewe.
Tutanunua india basi wafurahi