EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

Ila Putin ni jeshi la mtu mmoja, yaani anaifanya Dunia nzima inahaha??
 
Hivi andiko limesema wanampango wa kuzuia Africa kununua mbolea ya Russia au walikuwa na kusudio la kutengeneza sera ya kuisadia Africa kupunguza utegemezi wa mbolea ya Russia.

Mpango ulikuwa umejikita kukopesha hela za kujenga viwanda vya mbolea. Sasa kwa sababu kiwanda cha mbolea akijengwi kwa siku moja clearly this is a long term strategy ya kuisaidia africa; kwa njia ya kujenga viwanda vyao kwanza.

Kuna mdaku anaona hiyo sio sera nzuri at least in wording considering EU policy stance kwenye mazingira. Kama bara EU ndio inaongoza kwenye implementation ya makubaliano ya sera za mazingira; alikadhalika (viwanda vya mbolea ni amongst biggest polluters wa mazingira)

Sasa kwa bara linalojinasibu kuwa mstari wa mbele kupunguza CO2 emmisions; halafu bunge lake lije hadharani na sera inayosema itawasaidia watu wajenge viwanda vya mbolea hiyo wording ndio imemfanya mwenyekiti kutaka kuona maudhui ya hiyo sera yanaandikwa kwa mtindo mwingine.

Aina maana kwa hela yako watakuzuia kujenga kiwanda cha mbolea wala wao kuwa na mpango wa kuzuia nchi za africa kununua mbolea ya urusi in the meantime; lengo ni kusaidia kupunguza utegemezi wa hiyo mbolea in the long run.

In other words they are thinking on our behalf hayo mambo tulitakiwa kufikiria sisi wenyewe in terms of supply ya kutegemea sehemu moja kwa kiwango kikubwa ikilupuka kwa vita madhara yake sio madogo.
 
EU hawana la kutufanya, ujinga ni wetu sisi waafrika, ni kuamua sisi tuzalishe mbolea au tununue, hatujashikiwa akili na EU, tumezishika akili zetu wenyewe.
Kwani Kigwangala alisemaje kwenye ile video kuhusu kwanza kujaza matumbo ??!!!
 
Kama AU na viongozi wake wataafiki huu upumbavu basi Afrika tuna viongozi wapumbavu sana ambao hawana fure, wako tu kama mifugo isiyo na plan
 
Mabeberu majinga sana. Tatizo la Africa ni ufisadi tu, AU waite mkutano kukemea EU kupangiana maisha ya kuishi.
UFISADI NI SHIDAAA !!! HATA OLUSEGUN OBASANJO ALILIONA HILO !! LAKINI ALILISEMA HILO WAKATI AMESHAMALIZA MUHULA WAKE KAMA RAIS WA NIGERIA !!!
 
Umeona hayo maneno ?? Kiwanda hicho ni cha tangu enzi za Mwalimu Nyerere, but nobody cares about it !! Hata mifuko ya kuwekea mbolea ina label ya Kenya !! Salaaaleeh!!
 
Tusipangiane
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • Russia_in_Tanzania_20220308_1.mp4
    8 MB
Minjingu ipo Tanzania? Mkoa gani? Wilaya gani?
 
Nchi za jumuiya ya madola- Nchi zilizokuwa makoloni ya uingereza. (Muunganiko wa) Ili ?

Kulipiza kisasi?
Kuendelea kuwa makoloni?

Duck us
 
Hizo fedha cash Sasa hivi zimeenda wapi?BiTozo kila siku kiguu na njia kuomba na kukopa kila mahali. Je,jiwe alikuwa anatumia fedha sake mwenyewe?
Serikali haikusanyi kodi kwa matajiri ila inakusanya kodi kwa walalahoi, kwaiyo lazima itakopa sana ilikuweza kujihudumia.
 
should stop fucken colonial mentality, Africa is a free continent it will trade with any part of the world it wishes without being interrupted by any Nation ,
Africans sholud blame themselves for electing leaders who are not visionary and patriotic to their nations. When in power they serve their personal interests and not of the nations they lead.

The African leaders embrace dependency and don't utilize the plenty resources we have to amass wealthy that will redress challenges facing the continent.
 
Nimependa juzi PK aliwachana makavu kwenye mkutano CommonWealth kwamba waliwagawa wananchi wake nakusababisha Genocide nyambafu zao pua ndefu>>>>>>>>>>
PK atueleze ni nani alidungua ndege iliyobeba Marais wawili waliokuwa wakitokea Tz na kurejea katika nchi zao? Huyo ndio muasisi wa genocide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…