makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kuchukua kombe hasa hii michuano ya kutoana toana unahitaji bahati fulani hivi..Una beckham, wazza, rio, Terry, lampard, Gerrard, Cole, scholes, hargrave's na wengine wa kizazi kile lakini hatukuweza kufika hapa najiuliza chemistry haikuwepo au ni nini? .Kwa uwezo wa mmoja mmoja majina yale yalikuwa yanatisha
Its coming home NOT in yours. #Italy for euro 2020#.Gordon banks, Stanley mattew, bobby moore jack na Bobby charlton, ghoff hurts nobby style walichukua mwali hapo Wembley mwaka 1966 kwa kuwafunga west Germany 4 kwa 2. Mwaka 1990 Gary Lineker, Shilton, David platt glen hoddle walifika nusu fainali na kutolewa na west Germany kwa shida mpaka mwaka 1996 euro hapo hapo Wembley tulipotolewa na Germany kwa changamoto ya mikwaju na huyu Southgate ndo alikosa penalt miamba kama Paul gazza Stuart peace Paul Ince na mingine ilikuwepo .Njoo mwaka 2018 tulipotoka nusu fainal ya kikombe cha dunia dhidi ya Croatia na mwaka huu tunacheza fainal ya euro mafanikio katika soka hatujakutana nayo barabarani tupeni heshma yetu tupo katika ramani ya soka ya kilimwengu go go go the three lions
.Njoo 2018 tulipof
Tuko pamoja.Italy the azzuri ndio mabingwa wa yuro 2020.
Pamoja mkuu.Tuko pamoja.
Nikweli hata mimi nakiri haikuwa penalty.Wameonewa, ile haikuwa penati.
Nasimama na Mzee Wenger, naye kasema haikuwa penati.
Ndio hivyo mkuu ishatokea..Nikweli hata mimi nakiri haikuwa penalty.
Issue ni kupita tu hapa naongelea
Mtahama Sana timu ..Its coming home NOT in yours. #Italy for euro 2020#.
Alikuwa sio wa kuachwa, ni kwamba Utoto na starehe ameendekeza huyu dogo...kipaji anacho ila basi tu
Kwamba Kane sio Forward mzoefu? Ukimtoa Ronaldo hakuna Striker zaidi ya Kane Euro Hizi.
Ni kwamba tu England wanacheza na wakabaji wengi ndio maana hawafungi magoli mengi.
Wapolooooo hawa [emoji3][emoji3][emoji3]mbinu zilitumika haswa
Ile game ya jana na ijayo ya italy zitapigwa fitina balaa mpaka wanyanyue kwapa hawa.....yale yale ya 1966 full magumashiNikweli hata mimi nakiri haikuwa penalty.
Issue ni kupita tu hapa naongelea
Huyu unaemtukana kule world cup si ndio aliibuka mfungaji bora amaAnapoteza mipira hovyo mbwa huyo,yeye na kocha kashindwa kuifanya timu ipate magoli,wanawatesa mabeki akina Magwaire
Daaah haya mataira sana kipa anaokoa penati kwenye boksi wamejazana denmark player tupu kiasi kwamba kane ungempita walikua wanaweza kuokoaSiste Numbisa utakuwa umelala. Kwa niaba yako mzigo huu hapaView attachment 1845301