Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo


Mita moja kwa upande gani!? Pembeni au mbele yao.. Ukiangalia vizuri, wachezaji wa England [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 wamesimama kwenye ile mark line aliyoweka refa na sio kuwa wako nyuma yake, naona ni mchezaji mmoja tu ndio yupo nyuma ya huo mstari.
 
Natamani UEFA wamulike kama wanavyomulika hili.

UEFA has opened disciplinary proceedings against England following last night's win over Denmark. Use of laser pointer by its supporters, disturbance caused by its supporters during the national anthem and lighting of fireworks by its supporters are the three charges UEFA will investigate.

#EURO2020 | @Goal233
 
Hizo ni picha 2, picha ya kwanza wa Denmark wapo mbali na ukuta wa England na refa ndio aliwapanga

Picha ya 2 inaonesha kabla mpiga FK hajagusa mpira wachezaji wa Denmark waliacha position yao na kusogelea ukuta wa England kwa eneo la chini ya mita 1 ambalo ni Kosa kisheria.

Hivyo wachezaji wa Denmark ndio walikuwa na Kosa kwa kuwepo mahala wasipostahili, kupelekea kipa kuzibwa na kuwa na late reaction.
 
Denmark boss Kasper Hjulmand says he feels 'bitter' after his side's exit insisting England's penalty in extra-time shouldn't have been given. [emoji2424][emoji187]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…