Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Wewe ni CCM au CHADEMA?Huyu jamaa ni haijui mahakama vizuri, Bali propaganda ndio anasikiliza eti ipo kuwaonea viongozi wa Africa
Mbona kuna viongozi kutoka vita ya Bosnia na Serbia (Europe) wamehukumiwa wengi tu? Mbona Kuna cases za Myanmar kuuwa was Rhohingya zinachunguzwa? Mbona
Sikiliza propaganda za na dikteta ambao wanatumia kigezo cha Waafrica vs Wazungu kila Mara dunia inapojaribu kuwaambia waache unyama dhidi ya wananchi wao
Huyo ni team Ufipa ndio maana anaoa aibu kurudi kujibuWewe ni CCM au CHADEMA?
Bila shakaKwani hao viongozi wanaopelekwa huko wameonewa?
Hata mimi nimemshtukiaHuyo ni team Ufipa ndio maana anaoa aibu kurudi kujibu
Ninaomba kuja PMBila shaka
Kufanya nini?Ninaomba kuja PM
Mpotezee tu kama vpHata mimi nimemshtukia
Huyo ni team Ufipa ndio maana anaoa aibu kurudi kujibu
We kweli utopolo, kwa hiyo wahusika wa mauaji ya kimbari Rwanda, Mauaji ya Darfur, Congo ni wameonewa?Bila shaka
mhhhWe kweli utopolo, kwa hiyo wahusika wa mauaji ya kimbari Rwanda, Mauaji ya Darfur, Congo ni wameonewa?
Utopolo mimi au wewe?We kweli utopolo, kwa hiyo wahusika wa mauaji ya kimbari Rwanda, Mauaji ya Darfur, Congo ni wameonewa?
Sasa ndio umeandika nini?Huyu jamaa ni haijui mahakama vizuri, Bali propaganda ndio anasikiliza eti ipo kuwaonea viongozi wa Africa
Mbona kuna viongozi kutoka vita ya Bosnia na Serbia (Europe) wamehukumiwa wengi tu? Mbona Kuna cases za Myanmar kuuwa was Rhohingya zinachunguzwa? Mbona
Sikiliza propaganda za na dikteta ambao wanatumia kigezo cha Waafrica vs Wazungu kila Mara dunia inapojaribu kuwaambia waache unyama dhidi ya wananchi wao
Msamehe team Lissu huyoSasa ndio umeandika nini?
Bush na Blair waliwahi kupelekwa ICC kwa dhambi walizofanya Iraq na Afghanistan?...Nchi zote zilizojitoa ni za MADIKTETA
Hakuna nchi ya kidemokrasia imejitoa
Wewe sema unataka madikteta yabaki yakifanya madhambi yasije kuhukumiwa kwa dhambi zao
Haupo hapa kutetea wananchi wa hizo nchi
Tanzania haijawahi kuivamia Uganda. Tanzania iliwahi kumvamia Idd Amin ili kuwakomboa kaka na dada zetu wa Uganda...Walivamia "kihalali" kama Tanzania ilivyovamia Uganda 1978!
Au kama Kenya ilivyovamia Somalia 2018
Unajua kwanini vita kati ya nchi na nchi ni "halali"?
Idd Amin alivamia Kagera akasema ni eneo lake. Tanzania ikampiga na kumtoa eneo lile. Lakini laiti kama angeendelea kubaki madarakani angekuwa katika nafasi nzuri ya kujipanga tena na kuvamia eneo kubwa zaidi ndani ya Tanzania, Kenya au hata jirani wengine.Hahahaaaa
Unaona unavyozunguka zunguka?
Eti haijawahi ivamia Uganda
Unajua jeshi la nchi fulani kuvuka mpaka wake kwenda kwa ardhi ya nchi ingine bila ruhusa ya nchi husika by definition ni "uvamizi"?
Unaelewa hilo au unarukaruka tu?
Idd Amini alikua ni rais wa Uganda,wewe unaenda kumtoa nani kakutuma?
Justifications zako zinanikitisha sana. Mkuu, huyu ni wewe unayeandika haya au account yake imedukuliwa?...Idd Amin kuvamia Tanzania bado ni topic ya kubishaniwa....Hakuna mwenye proof ya kweli kuhusu hili
Kuna wanaosema ni TZ wenyewe waliharibu Kagera kujipa uhalali wa kuvamia Uganda...Na kuna nyie mnasema ni kweli alivamia
Still kuna kubishaniwa kwingi,pamoja na hayo ukishamtoa mvamizi kwako huna ruksa ya kwenda hadi nchini mwake kumpiga,huo unageuka sasa wewe tena ni mvamizi kwa upande wao
Unajichanganya sana CHADEMAMkuu
Justifications za Nyerere kuvamia Uganda ni justifications za USA na UK kuvamia Iraq,full stop!
Unategemea unizungumzie vizuri tangu lini?Always utasema hoja zangu hovyo regardless hata kama ni nzuri,maana mimi na wewe ni maadui
Huwezi ongea anything good about your adui,kwahiyo comment yako uliyotoa about my justifications eti ni za kusikitisha ni sahihi kabisa kutoka kwako.
You are doing well on being my enemy,which is perfect kabisa!
SIGNATURE YAKO: This nigga Wyatt Mathewson was a former Military General, Professional Assassin, and FBI Agent. Best and Coldest Black Villain Ever.Nimekuja kwa speed nikajua nitakua umemwaga hoja juu ya hoja kumbe eti "Unajichanganya sana CHADEMA"!
I wasted my time clicking on this shit!
Ndio zangu hizi kila weekend Moshi mjini