Eurocentric & Deterrent Criminal Court: Kama Burundi walijitoa, mpaka sasa Tanzania imenufaikaje na uwepo wa Mahakama inayolenga viongozi wa Afrika?

Eurocentric & Deterrent Criminal Court: Kama Burundi walijitoa, mpaka sasa Tanzania imenufaikaje na uwepo wa Mahakama inayolenga viongozi wa Afrika?

Huyu jamaa ni haijui mahakama vizuri, Bali propaganda ndio anasikiliza eti ipo kuwaonea viongozi wa Africa
Mbona kuna viongozi kutoka vita ya Bosnia na Serbia (Europe) wamehukumiwa wengi tu? Mbona Kuna cases za Myanmar kuuwa was Rhohingya zinachunguzwa? Mbona

Sikiliza propaganda za na dikteta ambao wanatumia kigezo cha Waafrica vs Wazungu kila Mara dunia inapojaribu kuwaambia waache unyama dhidi ya wananchi wao
Wewe ni CCM au CHADEMA?
 
Huyu jamaa ni haijui mahakama vizuri, Bali propaganda ndio anasikiliza eti ipo kuwaonea viongozi wa Africa
Mbona kuna viongozi kutoka vita ya Bosnia na Serbia (Europe) wamehukumiwa wengi tu? Mbona Kuna cases za Myanmar kuuwa was Rhohingya zinachunguzwa? Mbona

Sikiliza propaganda za na dikteta ambao wanatumia kigezo cha Waafrica vs Wazungu kila Mara dunia inapojaribu kuwaambia waache unyama dhidi ya wananchi wao
Sasa ndio umeandika nini?
 
Nchi zote zilizojitoa ni za MADIKTETA

Hakuna nchi ya kidemokrasia imejitoa

Wewe sema unataka madikteta yabaki yakifanya madhambi yasije kuhukumiwa kwa dhambi zao

Haupo hapa kutetea wananchi wa hizo nchi
Bush na Blair waliwahi kupelekwa ICC kwa dhambi walizofanya Iraq na Afghanistan?...
 
Walivamia "kihalali" kama Tanzania ilivyovamia Uganda 1978!

Au kama Kenya ilivyovamia Somalia 2018

Unajua kwanini vita kati ya nchi na nchi ni "halali"?
Tanzania haijawahi kuivamia Uganda. Tanzania iliwahi kumvamia Idd Amin ili kuwakomboa kaka na dada zetu wa Uganda...
 
Hahahaaaa

Unaona unavyozunguka zunguka?

Eti haijawahi ivamia Uganda

Unajua jeshi la nchi fulani kuvuka mpaka wake kwenda kwa ardhi ya nchi ingine bila ruhusa ya nchi husika by definition ni "uvamizi"?

Unaelewa hilo au unarukaruka tu?

Idd Amini alikua ni rais wa Uganda,wewe unaenda kumtoa nani kakutuma?
Idd Amin alivamia Kagera akasema ni eneo lake. Tanzania ikampiga na kumtoa eneo lile. Lakini laiti kama angeendelea kubaki madarakani angekuwa katika nafasi nzuri ya kujipanga tena na kuvamia eneo kubwa zaidi ndani ya Tanzania, Kenya au hata jirani wengine.

Tanzania ilimtoa Amin na kuwapa relief waganda ambao ndugu zao walikuwa wanauwawa na nyama zao kuliwa kama mboga, viwete kukupwa mtoni kuliwa na mamba na wanajeshi wa Idd Amin...
 
Idd Amin kuvamia Tanzania bado ni topic ya kubishaniwa....Hakuna mwenye proof ya kweli kuhusu hili

Kuna wanaosema ni TZ wenyewe waliharibu Kagera kujipa uhalali wa kuvamia Uganda...Na kuna nyie mnasema ni kweli alivamia

Still kuna kubishaniwa kwingi,pamoja na hayo ukishamtoa mvamizi kwako huna ruksa ya kwenda hadi nchini mwake kumpiga,huo unageuka sasa wewe tena ni mvamizi kwa upande wao
Justifications zako zinanikitisha sana. Mkuu, huyu ni wewe unayeandika haya au account yake imedukuliwa?...
 
Mkuu

Justifications za Nyerere kuvamia Uganda ni justifications za USA na UK kuvamia Iraq,full stop!

Unategemea unizungumzie vizuri tangu lini?Always utasema hoja zangu hovyo regardless hata kama ni nzuri,maana mimi na wewe ni maadui

Huwezi ongea anything good about your adui,kwahiyo comment yako uliyotoa about my justifications eti ni za kusikitisha ni sahihi kabisa kutoka kwako.

You are doing well on being my enemy,which is perfect kabisa!
Unajichanganya sana CHADEMA
 
Nimekuja kwa speed nikajua nitakua umemwaga hoja juu ya hoja kumbe eti "Unajichanganya sana CHADEMA"!

I wasted my time clicking on this shit!
SIGNATURE YAKO: This nigga Wyatt Mathewson was a former Military General, Professional Assassin, and FBI Agent. Best and Coldest Black Villain Ever.
 
Back
Top Bottom