Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

TISS wanamfanyia nani kazia kama siyo Sa100? Kwa taarifa yako TISS inamtumikia Rais.
Sasa abduli anaingiaje hapo kwa taarifa anazopewa mama yake, kwanza kazi yao si kumfanyia sa100 wnafanyia nchi..na wao kwa maovu yao ya wizi, ufisadi na mauwaji wnamblackmail sa100 iwe km wanafanya kwa faida yake..katiba kwa mfano hiv rais anaweza kuwa kikwazo wakat anakaa hapo miaka 5 au 10 anaondoka, kwa nini azuie katiba wakati ataondoka? Lkn hao tiss kwa sabb wao wmejifanya masultani kwenye kazi hiyo, wao ndio victims wakubwa mabadiliko yoyote ya katiba yakifanyika, na hivyo wao ndio kikwazo kwa mabadiliko yoyote ya katiba!
 
Sitoshangaa kama balozi Dr Emanuel Nchimbi watamuua. Waliouwawa mpaka sasa ni wengi. Serikali hii imejinasibu katika Katika sekta hii ya kuuwa na kuwapoteza wakosoaji. Ameandika mtumishi wa zamani wa idara ya usalama wa taifa Chahali maarufu jasusi.

Tusubiri taarifa zaidi kumuhusu Dr Nchimbi..
 
Iwe mda wa kukataa hii mipango ovu, kuwe na mgomo nchi nzima walimu na Madactari wa Serikali kushinikiza hili. Kama yanayosemwa ni kweli huyu mtu alijitowa muhanga kwa jili ya wananchi. Tuone kama watatumia polisi wawe walimu na madaktari.
Alijitoa Muhanga wapi wewe .ni wale wale tu....acha wapatilizane wao kwa wao wamalizane wote....ndipo tutaandamana Nchi Nzima Kushangilia hilo..
Nchimbi ndiyo mjenzi wa kwanza wa Msingi wa Kuwindwa Ben Saanane...akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
Mie huruma kwa Mwana-CCM sitakuja kuwa nayo maana wao ndiyo waasisi wa huu uovu ..acha uwageuke tu...Nilishuhudia kwa Macho yangu jinsi Marehemu ALPHONCE MAWAZO alivyokuwa amechakazwa Mashoka na Mapanga mithiri ya kichwa Cha Ng'ombe buchani...mpaka anakata roho..kisa Siasa za CCM hiii hii na Viongozi ni hawa hawa....:
-Shuka Mungu wa Maangamizi Shuka ..Amen!Amen..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…