M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Mchochezi namba moja ni Samia, nchi ikiendeshwa kwa haki hakutakuwa na unachokiita uchochezi bali itakuwa competing fairly and democratically. Neno uchochezi hutumiwa na madikteta kunyamazisha maoni kinzani(different opinions) ya watu.WACHOCHEZI WAPO KAZINI KUIGAWA TANZANIA
VIPANDE VIPANDE πΉπ
WACHOCHEZI WALIKUWEPO PIA KULE LIBYA NK. πΉ
TUWAPINGE KWA UMOJA
WETU π
WAO WAPO SALAMA UKO
WALIPO π
WACHOCHEZI WAO NDIO NGUZO YAO KUWEPO KWA WATU UKO WALIPOπΉπΉ
Kwa hiyo mjinga ni nani.. aliyempa mwanae mamlaka illegally..au wanaoamrishwa na mtu hajui hata ukomo wa madaraka yake, nani mjinga kati yao..Hilo liko wazi ila machoko wa UVCCM wanapambana sana ukweli usijulikane, Samia kampa mwanae madaraka ya kuiongoza(kui-control) TISS illegally ili kila watakalo liende wanavyotaka.
The whole bloody system ni mipumbavu, seniors have been completely corrupted and juniors are nothing but bunch of cowards. TISS ilikufa pale UVCCM ilipogeuzwa kuwa recruitment phase before joining the agency.Kwa hiyo mjinga ni nani.. aliyempa mwanae mamlaka illegally..au wanaoamrishwa na mtu hajui hata ukomo wa madaraka yake, nani mjinga kati yao..
ππ Ma mkwe mi niko dirishani tu napiga umbea sina lolote.Mama mkwe kumbe na wewe ni mtu wa sistimu?
Arhi namankaa!!
Jf ya umbeaumbea tu...
View: https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfGKwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana kama alivyokamatwa Humphrey Polepole, na Dr Nchimbi kakamatw kwa njia ileile...
Amekamatwa na kuhifadhiwa na habari za uhakika ni kuwa anapitia mateso makubwa na Kuna hatari akapoteza maisha. Ni katika wakati huo, ndipo ile barua yake ya kujiuzuru iliyoandaliwa na TEAM ABDUL mtoto wa kiume wa Samia Suluhu Hassan ikawekwa mitandaoni..
Sababu ya kuteswa ni kulazimishwa atoe taarifa muhimu ikiwemo zile taarifa nyeti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo inasemekana Dr Emmanuel Nchimbi aliziwasilisha UN na ICC ambazo direct zinam incriminate Samia na huyo mwanae Abdul..
Kwa taarifa kamili, sikiliza video hiyo mpaka mwisho..
nchi huongozwa kwa Sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali. Kukabidhiana ofisi ni jambo la muhimu sana ambalo halikwepeki katika jamii yeyote iliyostarabika. ukiona hakuna makabidhiano, ujue kuna ushenzi umeendeleaLkn mkuu utaratibu
ule sio Sheria π
Mifano ipo Profesa Mussa Assad CAG
Hakufanya makabidhiano
kama sijakoseaβοΈ
Lkn Trump nayeye
hakuwepo kumkabidhi Ikulu Joe Biden
Na tena Biden hakuwepo kumkabidhi Ikulu Trump π€ π€
Duuhh Punguza ukali wa maneno mkuuThe whole bloody system ni mipumbavu, seniors have been completely corrupted and juniors are nothing but bunch of cowards. TISS ilikufa pale UVCCM ilipogeuzwa kuwa recruitment phase before joining the agency.
Unakanushaje na kuanza kuwakingia kifua kina Samia bila kuweka supported documents?Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
..iwe wmetokana na uvccm au takataka zingine, tiss ndio wapumbavu, huwez kuwekewa incharge hana mbele wala nyuma km abduli na wewe unakubali unatii order anazokupa..The whole bloody system ni mipumbavu, seniors have been completely corrupted and juniors are nothing but bunch of cowards. TISS ilikufa pale UVCCM ilipogeuzwa kuwa recruitment phase before joining the agency.
u're very right chief!The whole bloody system ni mipumbavu, seniors have been completely corrupted and juniors are nothing but bunch of cowards. TISS ilikufa pale UVCCM ilipogeuzwa kuwa recruitment phase before joining the agency.
..wao wmeweka za abduli kuwa incharge wa tiss..hata hizo za samia kuwaamrisha wateke watu, wewe unazo..Unakanushaje na kuanza kuwakingia kifua kina Samia bila kuweka supported documents?
Jf imekuwa na watu wa hovyo sana hii!
Mambo ya sistimu..iwe wmetokana na uvccm au takataka zingine, tiss ndio wapumbavu, huwez kuwekewa incharge hana mbele wala nyuma km abduli na wewe unakubali unatii order anazokupa..
Si Tiss tu, hata ukuu wa Majeshi Abdul anaweza pewa bila kuhenya depo, maana mamake jeshi ni lake...iwe wmetokana na uvccm au takataka zingine, tiss ndio wapumbavu, huwez kuwekewa incharge hana mbele wala nyuma km abduli na wewe unakubali unatii order anazokupa..
..wanachagua mapunga ndio maana yanatii hata order haramu zisizoeleweka kisheria.Si Tiss tu, hataukuu wa Majeshi Abdul anaweza pewa.
Kwa sababu hakuna taasisi yenye mamlaka ya kujipangia.
Mkuu wa majeshi anaweza kungolewa muda wowote na kupewa mtu yeyote mwingine na bila ya kufanya fyoko.
You're hundred percent right...iwe wmetokana na uvccm au takataka zingine, tiss ndio wapumbavu, huwez kuwekewa incharge hana mbele wala nyuma km abduli na wewe unakubali unatii order anazokupa..
Tuwape tu ukweli mchungu.Duuhh Punguza ukali wa maneno mkuu
Obviously wote but in different ways, wanaoamrishwa ni makunguru maoga aliyempa mwanae utawala kwake yeye ni mjanja(japo werevu mwingi mbele kiza) kwani anaibagaza Tanganyika atakavyo na kila anayempinga yanamkuta ya kumkuta.Kwa hiyo mjinga ni nani.. aliyempa mwanae mamlaka illegally..au wanaoamrishwa na mtu hajui hata ukomo wa madaraka yake, nani mjinga kati yao..
Ni mpumbavu tu anaweza kukuamini
View: https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfGKwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana kama alivyokamatwa Humphrey Polepole, na Dr Nchimbi kakamatw kwa njia ileile...
Amekamatwa na kuhifadhiwa na habari za uhakika ni kuwa anapitia mateso makubwa na Kuna hatari akapoteza maisha. Ni katika wakati huo, ndipo ile barua yake ya kujiuzuru iliyoandaliwa na TEAM ABDUL mtoto wa kiume wa Samia Suluhu Hassan ikawekwa mitandaoni..
Sababu ya kuteswa ni kulazimishwa atoe taarifa muhimu ikiwemo zile taarifa nyeti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo inasemekana Dr Emmanuel Nchimbi aliziwasilisha UN na ICC ambazo direct zinam incriminate Samia na huyo mwanae Abdul..
Kwa taarifa kamili, sikiliza video hiyo mpaka mwisho..
Pamoja na katiba Ina mapungufu hayo.Well katiba ndio imetaka imempa hayo mamlaka. Is why tunahitaji katiba itakayo punguza hayo mamlaka, mahaka ipewe nguvu kikamilifu. Na vyombo vya ulinzi na usalama viwe separated from politics kabisa.
Hali iliyopo ccm kama chama inaweza amuru chombo chochote kudanya lolote na ikafanya