Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

Unajua maana ya trends for you?

Ama kweli ujinga ni bahari Pana.
Screenshot_20230722-153643.png
 
Nadhani kuna mshtuko fulani ulitokea kwa Yanga ambao haujatulia hadi sasa, na mambo yamekuwa yakienda mfululizo. Hersi naye ajitahidi agawe baadhi ya majukumu kwa wanakamati, huwezi ukatembea peke yako, na najua ni kweli anajaribu kupunguza upigaji
 
Tatizo Yanga wamelenga kukusanya mapato, wamesahau watu wanaojaza uwanja wengi ni wa vipato vya chini, yaani wale choka mbaya, kiingilio cha elfu 10 bado ni kiasi kikubwa sana , hapo unakuta mtu kajipiga na jersey kanunua.

Wangefanya angalau kiwango cha chini 5000 alafu na wafanye promotion kubwa ya kuhimiza watu wafike uwanjani. Wengi watafuatilia kupitia TV
 
Nadhani kuna mshtuko fulani ulitokea kwa Yanga ambao haujatulia hadi sasa, na mambo yamekuwa yakienda mfululizo. Hersi naye ajitahidi agawe baadhi ya majukumu kwa wanakamati, huwezi ukatembea peke yako, na najua ni kweli anajaribu kupunguza upigaji
Yes mambo yamekuja makubwa makubwa kwa haraka. Inahitaji maturity kubwa kuya-handle.
 
Kwani muda wa kuanza tamasha ni saa ngapi?
 
Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k?
Nani anapaswa kuwajibishwa?

Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
Wew nikolo nenda kacheze hizo xxx zako hapo
 
Back
Top Bottom