Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

Events zimekuwa nyingi waloenda wamewakilisha
 
Manara atandikwe viboko 7, maana yeye angeshikilia bango mpaka dakika hii shangwe zingekuwa nyingi sanaa
 
Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k?
Nani anapaswa kuwajibishwa?

Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
Bado wanajiuliza, Simba aliwezaje kucheza Champion League mpaka robo fainail wakati Yanga alienda shirikisho na kibaya zaidi hayupo Super cup pamoja na kuvaa medali?
Champion League muda si mrefu inaanza. Mtakaza kweli au mtajilegeza muende shirikisho?
 
Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k?
Nani anapaswa kuwajibishwa?

Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
ni kweli imedorora

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Mm ni YANGA ila SiMBA mmeshindikana[emoji91][emoji91][emoji91]
Tulicheza Champion League mpaka robo fainali na sasa ni Super Cup
Msimu huu, matarajio ni kucheza Champion League mpaka fainal. Mwakani tutaenda mwezini
 
Huko mwezini si huwa mnaenda kila mwezi
Siyo maana hiyo. Tangu lini Simba dume linalocheza Champion League mpaka robo fainali na sasa Super cup akaingia kwenye maana yako?
Mjipange msimu ujao tucheze wote African Super Cup
 
Back
Top Bottom