Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?


Ulaumiwe wewe.
 
Wiki nzima hii walikuwa bize kujadili kibegi na ishu ya Chama kusajiliwa Utokoloni.
 
Acha utopolo wengne waje mpk wote mkubaliane kwmb yanga day haina mvuto mwaka huu
 
Ndiyo kwanza ni saa 10 jioni. Vipi ikifika saa 1 jioni!! Kwa kiingilio hicho hicho cha elfu 10, bado uwanja utajaa.

Na hii ndiyo tofauti kati ya timu ya wananchi, na hizo timu za Wahindi.
 
Check hapa wacha uzushi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…