Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

DP WELD
 
Hapo kwenye viingilio itakuwa ni manara kawaingiza King yanga wakajaa kiufupi yanga wanapitia hali ngumu kiuchumi walitegemea hili tamasha litawabusti kiuchumi
 
Yaani hii event yao imekuwa ya ajabu na mbaya kweli kweli!
Hao Mc's Zembwelq na Kitenge hawana jipya kila sekundi ni kuita Wananchi wananchi tu!
Aibu kubwa sana hii!!!
 
Wengi wanasubiri muda wa mechi .mechi ikikaribia kuanza utaona uwanja itakavyojaa
 
Dijito meneja
 
kwa idadi iliyofika sasa kwa pesa hiyo japo bado hujajaa yanga watapata gate collect kubwa kuliko wataokuja kujaza huu uwanja kwa afu tatu,simple tu pesa ndo ilikuwa target kubwa kwenye tamasha la mwaka huu..
 
Wakiingia 45Elfu wakalipa Mwekundu.

Na wakiingia 60Elfu na wakalipa buku 5

Faida iko wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…