Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

Mpaka idhibitike, until then its too early kushauri chochote. Huku jf kuna online experts wa mchongo wengi mno, kama mtoa post.
What will happen after hiyo report itajulikana baadae
 
mbona oktoba7 allah akbar zilikuwa nyingi ghafla zikapotea allah alishindwa?
Ona unavyoropoka!
Nakuuliza maswali matatu tu,
1)Toka oktoba 7 Israel imeweza kutuliza ghasia ndani ya mipaka?
2)Je IDF wameweza kuwateketeza Hamas?
3)Je mateka wameweza kugombolewa?

Naomba majibu tafadhali.
 
Binti ni neno nilikuwa nalitumia mwaka 1981 wakati namvizia mama yako kwa bibi yako.
NB;Tumia neno mkuu au baba muheshimiwa.
Kwa avatar hio inakutambulisha tofauti wakati sasa uiweke sawa , ila weka hoja tujadili hii ni forum ya international issues achana na personal attacks.
 
Brainwashed usiyejielewa wewe
 
wao akifa muisrael 1 na wao 100 ni ushindi
Hiyo vita nani mission yake ilikamilika kati ya Lebanon na Israel!?
πŸ˜‚πŸ˜‚Mbona mnaropoka sana we na jamaa yako!?
Ushindi wa vita ni mission accomplishment au number of casualties!?
Kama una ndugu mjeda nenda kamuulize huwenda huna akili ya kuchanganua.
Kiufupi Israel yenye maelfu ya wanajeshi ilizuiliwa na takriban 160+ local Lebanese fighters pale Bint jubeir.
 
Assassination sio lazima iwe imetola nje inaweza kupangwa ndani ya nchi na vyombo / watu wa ndani.
 
Unaota
 
Ona unavyoropoka!
Nakuuliza maswali matatu tu,
1)Toka oktoba 7 Israel imeweza kutuliza ghasia ndani ya mipaka?
2)Je IDF wameweza kuwateketeza Hamas?
3)Je mateka wameweza kugombolewa?

Naomba majibu tafadhali.
Povu jiingi hasira za kuuliwa gaidi mkuu.
 
Reactions: 511
Bonge la mjinga uthibitisho wako haueleweki weka mwingine unaofafanua Israeli halisi
 
Ona unavyoropoka!
Nakuuliza maswali matatu tu,
1)Toka oktoba 7 Israel imeweza kutuliza ghasia ndani ya mipaka?
2)Je IDF wameweza kuwateketeza Hamas?
3)Je mateka wameweza kugombolewa?

Naomba majibu tafadhali.
magaidi wapo nchi zote jirani na Israel na dunia nzima hata wewe hapo ukipewa jambia unaenda ila kwa Israel bado ni kama sio stiff fighting jua hilo.Wavaa kobazi mmevuliwa nguo acha povu liwatoke.nawashauri na nyie mumvizie NETA[emoji1787].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…