Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

BIBLIA?

Really?

Yaani religious extremists are a very big problem in this world,and you sir,you are a problem!
Eliminate me if you do not want me to indoctrinate others,but as long as I am alive I will continue I will continue to indoctrinate others because I know it is the right thing to do.

But exactly why do you hate the Bible,be specific please.
 

Hatuipiganii israel tunachokataa ni aridhi takatifu ya jerusalem kukaliwa na magaidi
 
Mkuu Huwa nakufatilia sana thread zako, Huwa unatoa ujumbe mzuri sana Ila watu wengi wanashindwa kukufuatilia sababu ya lugha ya kingereza, hivyo ningependa tu kukushauri uwe unatumia lugha ya kiswahili sababu itawasaidia watu wengi ambao hawajui kuhusu mifumo feki ya hii dunia inavyoendelea.
 
Hatuipiganii israel tunachokataa ni aridhi takatifu ya jerusalem kukaliwa na magaidi
Mpango wa Mungu unaujua kuhusu Jerusalem na Israel?Kasome Biblia yako usikurupuke.Always Israel ilipokaliwa na Wageni ilikuwa adhabu kwao,kwa hiyo wewe huwezi kuzuia mpango wa Mungu. Yeye mwenyewe ndiye anayewatawanya na Yeye mwenyewe ndiye anayewakusanya.Ila let me be categorical, ukusanyaji wa 1948 sio wa Mungu ni wa Ibilisi kwa kuwa Mungu hajahusika kwa njia yeyote,Shetani ndiye aliyehusika.

Fuata link ifuatayo uone how it was done.

 
Hayo yako wewe
 
Inaweza kuwa ni assassination kweli lakino waliofanya wakawa wao wenyewe wamezungukana.
 
Taarifa za ndani zinaleta uvumi kuwa huwenda "Ayatollah" kahusika.
Ila sio Iran.
Khomenei na Ebrahim hawakuwa vizuri
Ni Khamenei na siyo ulivyomuita.Khomein ni mtangulizi wake aliyengoza mapinduzi ya mwaka 1979
 
Hayo yako wewe
Hayo sio yangu,hata wewe unaweza kujua.Familia ya Rothschild,familia ya kishetani kabisa, imekiri kupitia kwa Walter Rothschild, kuwa familia yao ndio iliyohusika na kuundwa kwa Taifa la Israel mwaka 1948.

Hata hivyo tunapojifunza Biblia tunaona kwamba siku zote Mungu alipowakusanya Israel alitumia Manabii wake.Kwa hiyo ni wazi kuwa kwa kuwa hakuna Nabii aliyetumia katika ukusanyaji wa 1948,ukusanyaji huo sio wa Mungu, ila Shetani ameteka mpango wa Mungu.Mungu bado hajawarudisha Israel.Kihacho endelea Israel kwa sasa kinaonyesha wazi wanaoikalia Israel sio watu wa Mungu,ila Sinagogi la Shetani, kama Bwana Yesu mwenyewe alivyowaita katika Ufunuo 2:9 na 3:9.Huwezi kuwa mwana wa Mungu ukawa muovu kama Israel ilivyo leo mkuu,nope.



Fuata link ifuatayo uone kilichotokea 1948.

 
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu,nitajaribu,ingawa na mimi kuandika mada ndefu kwa Kiswahili na wakati mwingine technical, huwa napata shida kutafuta the right words.I find it easier to write in English than Swahili.Ila thakyou for the idea.
 
Vyovyote vile jerusalem haiwezi kukaliwa na wafiliati never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…