Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
kuanzia Leo nime kuteua kuwa waziri wa mambo ya ndani, katika chama Cha ma jobless pro max.

Kazi yake kuhakikisha usalama wa chama na viongozi wake.
min -me, makutupora, Bolotoba mwenzetu huyu.
Na ahidi kukilinda chama na viongozi wake kwa njia yoyote ile, iwe mchana iwe usiku nitakua kazini, kwahiyo ndugu wanachama na viongozi hasa wewe raisi ukilala wewe lala bila stress kwa maana chama kipo kwenye mikono salama ya kiulinzi. 😅😅
 
Mimi semaji la chama Napenda Kutangaza taarifa kwa umma kuwa Mh. Rais amemteua ndugu Thecoder kuwa waziri wa mambo ya ndani katika chama Cha Majobless Promax .

Ameanza majukumu yake baada tu ya uteuzi huu!

Semaji la chama Cha Majobless Promax
Samaleko
Nami nashukuru sana kwa utambulisho huu na tayari nimeanza kazi rasmi ya kuhakikisha chama kinasimama imara, Asante sana ndugu msemaji.

Waziri wa mambo ya ndani wa chama cha majobless pro max.
 
Nami nashukuru sana kwa utambulisho huu na tayari nimeanza kazi rasmi ya kuhakikisha chama kinasimama imara, Asante sana ndugu msemaji.

Waziri wa mambo ya ndani wa chama cha majobless pro max.
Safiiii sana
Kidumu chamaaaaaaa
 
Watembeza kahawa 10,000 wanatakiwa
Nimewambia kuna kazi ya kuchuma chai mpaka sahivi hamna aliejigusa badala yake wanapiga mboyoyo tu hapa
Screenshot_20250131-175335~2.jpg
 
Wanasema bora waendelee kuwa majobless tu kuliko kupewa vitafunwa na makande mchana 😀
Nilikwambia Mimi nipo tayari

Break fast ntapiga, makande ntabeba kuyala usiku.

Nipate nguvu ya kukusemea chama!

Tena kwa kufanya hivyo, Mungu atakubariki sana,
 
Back
Top Bottom