makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Hakika mkuu umenena vyemaaaSasa kama kuna shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA wanatetea maslahi ya wafanyakazi, na wafanyakazi wa sekta mbalimbali wana vyama vyao vya kuteteana, why kusiwe na chama cha wasio na kazi nao wateteane kwa changamoto wanazozipitia? Jobless nao ni kundi kubwa ndani ya jamii wanastahili kuwa na chama chao cha kuteteana kwa magumu wanayoyapitia
Umeniongezea pwentii Mimi semaji za kukusemea chama