Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
kuanzia Leo nime kuteua kuwa waziri wa mambo ya ndani, katika chama Cha ma jobless pro max.

Kazi yake kuhakikisha usalama wa chama na viongozi wake.
min -me, makutupora, Bolotoba mwenzetu huyu.
Na ahidi kukilinda chama na viongozi wake kwa njia yoyote ile, iwe mchana iwe usiku nitakua kazini, kwahiyo ndugu wanachama na viongozi hasa wewe raisi ukilala wewe lala bila stress kwa maana chama kipo kwenye mikono salama ya kiulinzi. πŸ˜…πŸ˜…
 
Nami nashukuru sana kwa utambulisho huu na tayari nimeanza kazi rasmi ya kuhakikisha chama kinasimama imara, Asante sana ndugu msemaji.

Waziri wa mambo ya ndani wa chama cha majobless pro max.
 
Nami nashukuru sana kwa utambulisho huu na tayari nimeanza kazi rasmi ya kuhakikisha chama kinasimama imara, Asante sana ndugu msemaji.

Waziri wa mambo ya ndani wa chama cha majobless pro max.
Safiiii sana
Kidumu chamaaaaaaa
 
Wanasema bora waendelee kuwa majobless tu kuliko kupewa vitafunwa na makande mchana πŸ˜€
Nilikwambia Mimi nipo tayari

Break fast ntapiga, makande ntabeba kuyala usiku.

Nipate nguvu ya kukusemea chama!

Tena kwa kufanya hivyo, Mungu atakubariki sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…