Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??

  • Total voters
    139
Mtoto wa kiume kujiita Jobless maana yake ni bwabwa upo tayari ku risk marinda... Mambo ya jobless waachieni wanawake... Nyie vijana acheni upuuzi, mmesoma mna certificate diploma degree na masters ila mnashindwa kutumia akili zenu kuangalia fursa zinazo wazunguka...
Haiwezekan hapo mtaani kwenu miaka yote mama yako dada yako au jiran zako wanauza mgahawa, mkaa au genge na wamesomesha watoto hadi chuo, wewe kijana unashindwa kuwa mbunifu unajiita jobless...
Fungasha mkaa kwenye package vzuri mteja akija anakuta mkaa upo vzuri kulingana na pesa aliyonayo (usiuze mkaa kama watu wa zamani), fungasha maandazi au matunda au mbogamboga ktk package vzuri mteja akija anunue kulingana na kipato chako...
Mlivyo wapuuzi kutafuta elfu50 ya kwenda kitambaa cheupe kulewa mnaweza ila kutafuta pesa ili muishi vzuri kipato kiongezeke hamuwez...
AJIRA hakuna na zitaendelea kuadimika sana tu, zamani walimu walikuwa wana ajiriwa kwa kubembelezwa sikuhizi lazima ufanye interview na lazima usali sana ukeshe kwa Mwamposa kupata ajira ya ualimu... Nyie hamshituki...????????
Endeleeni kulala kwenye nyumba za urithi mkidhan ajira zitawajia au mtauza hizo nyumba 💩💩 nawaambia mtashangaa mmezeeka mkiwa nyumban mtafukuzwa kama mbwa koko na wajukuu wa wazaz wenu...
WAKE UP TANZANIAN GRADUATES

Yes sijui kutumia lugha nzuri, hii kali ndio naipenda
motivation speaker mkisha Shiba, Mna hara hovyo.

huyo jobless wa kwenda kitambaa cheupe ni yupi??.

habari za mwamposa tena!
 
Acha usenge bas watu tunauchungu mkali k***lmke ungejua , acha usenge kabisa watu tunapambana k***lmke ila Bado bila bila we unasema fursa fursa gani k***lmke au sbbu we una wajomba wamekuweka apo walipokueka...
 
Watu wengi siyo majobles kama mnavopotray wengi utakuta;
Wanafanya kazi ambazo hawajasomea unakuta mtu kasomea uhasibu lakini anafanya sells

Mtu anafanya kazi hana mkataba, wengi part time lakini wanajihesabia jobless
 
Jobless!!
Muhimu uwe na kazi halali ya kukuingizia kipato, hayo ya kuajiriwa ofisini kwa sasa inabidi watu wayafute akilini.
 
Watu wengi siyo majobles kama mnavopotray wengi utakuta;
Wanafanya kazi ambazo hawajasomea unakuta mtu kasomea uhasibu lakini anafanya selling

Mtu anafanya kazi hana mkataba, wengi part time lakini wanajihesabia jobless
mkuu wengi hata hizo mishe hawana, wengine surviving kwa chini ya 2000.
 
Back
Top Bottom