issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Unaumihimu wakati uwanja mwaka mzima unatua ndege moja ya magufuli hebu tutajie jee fly emiret au fly Dubai au Ethiopia air wameshawahi kutua paleKwako wewe unaekariri maneno ya msomi uchwala Lissu. Kwetu sisi Geita na Mwanza una umuhimu.
Hiyo ndege MTU hapandi mpaka uwambiwe mama ako au babayako kafa ndio upande ndege tena kwa muislam iliawahi maziko haraka kwani maiti ya kislam haikai kwa upande wa wakristo wakipewa taarifa ya kifo wao wanasema tutakuja kesho kwa basi sasa tutajie faida ya uwanja wa ndege wa ChatoWe mji wa Chato unaujua? Unajua wavuvi wa Mganza wanaweza kukulisha wewe na ukoo wenu. Acha dharau za kichaga.
Kwa hiyo ikitua Emirates ndio unajua unatumika?Unaumihimu wakati uwanja mwaka mzima unatua ndege moja ya magufuli hebu tutajie jee fly emiret au fly Dubai au Ethiopia air wameshawahi kutua pale
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Na wewe nae unamiliki smartphone?Hiyo ndege MTU hapandi mpaka uwambiwe mama ako au babayako kafa ndio upande ndege tena kwa muislam iliawahi maziko haraka kwani maiti ya kislam haikai kwa upande wa wakristo wakipewa taarifa ya kifo wao wanasema tutakuja kesho kwa basi sasa tutajie faida ya uwanja wa ndege wa chato
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Tundu Lissu hajatukana mtu pale Chato, amehoji mantiki (rationale) ya kuwa na uwanja wa kimataifa wa ndege pale Chato ilhali idadi ya watu walipo cahto wangeweza kutumia uwanja wa Mwanza bila shida kwa ndege za kimataifa. Aliyetukana watu ni huyu aliyesema hakuleta tetemeko kwa hiyo hatatoa msaada wowote kwa wale walioathirika na tetemeko mkoani Kagera.Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Kwahiyo huko tume imeshatangaza washindi?Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Alitukana tusi gani?Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Unataka kusema chato international airport ndo ilikuwa priory namba moja ya wanachato baada ya taa za barabarani?Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Mwambie mchonganishi huyo! Chato hawakuhitaji uwanja Bali huduma bora za maji na sio uwanja wa kutua ndege inayomleta Magufuli..wananchi wa chato hawahitaji uwanja wa ndege wa kimataifa.
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Naisubiri hiyo siku ya Lissu kwenda chato kuomba kura. Aibu atakayokula, itakuwa ya karne.Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Kwani uwanja wa ndege lilikuwa ni hitaji la Chato? Chato wana matatizo mengi, na kama wanageshirikishwa, uwanja wa ndege lisingekuwa hata miongoni mwa vipaumbele 20 vya wananchi.Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Dada mwambie meko aje na sera mana amebaki kuropoka na kutukana wapiga kura kma zuzu,bila valium 10 kumeza hawezi kupumzika hii mshaurini akipige kvantTundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Tatizo mnashindwa kujibu hoja za Lissu...Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
πππππ,mataga kwakweli mnatia kinyaa!Kuna sehemu nyingi tu ambapo ungeweza kujengwa uwanja huo katika ukanda huo ambako kuna mahitaji hasa ya uwanja wa ndege!Si Chato!Ule uwanja ni kwa ajili ya mkoa wa Geita sio Chato. Hata Mwanza kama kuna emergency ndege inaweza kutua chato kwa muda.
Foolish, Huwezi kuelewa maana akili yako ni mb.20Kumbe uwanja wa ndege wa Kilimanjaro airport wanaotua pale ni wachaga tu?
Alafu eti wewe ndiyo think tank wa chadema!!!!!!!!