Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hujaniambia popote kuhusu wakati unapokusanyika na kwa Andiko gani.Mimi nimeshajibu!!
Ikiwa hujaridhika au hujaelewa majibu yangu, basi!!
Maandiko yepi na yanasemaje ?Maandiko Yako wazi, na hayajabadilika.
Luka 4:16,Akaenda Nazareti mahali alipolelewa na siku ya Sabato akaingia kwenye Sinagogi kama desturi yake . Jumamosi ndioSabato ya kupumzika na kustarehe kanisa.Sio Mimi ni maaandiko yanasema.Kutoka 20:---yote soma.Nakutakia siku NJEMA.Salam, Shalom!!
Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili?
Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku,
Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli.
Na Mungu hufanya KAZI muda wote, hata sasa afanya KAZI.
Mungu anakuuliza Ewe Mkristo kupitia thread hii, ni nani aliyekwambia kukusanyika Jumapili Kwa ibada takatifu?
Ukiulizwa andiko utalitoa wapi?
Ni nani aliyekuagiza kusherehekea sikukuu ya Christmas tarehe 25 December?
Unalo andiko? Ni maagizo ya Roho mtakatifu kufanya mambo hayo?
NB: Mkristo aulizwaye swali hili ni yule aliyeokoka, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho Mtakatifu, yule aaminiye juu ya karama Tano, unabii ukiwemo, aaminiye juu ya kunena Kwa lugha, aliyefunguliwa macho ya Rohoni na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu wazi WAZI.
ANGALIZO; Hii Si mada kuhusu Ukristo kama DINI, Bali Ukristo kama IMANI juu ya Yesu Kristo na maisha matakatifu.
Karibuni.🙏
Kukusanyika ni muda wowote kulingana na shughuli na Ibada mtakazoamua,Hujaniambia popote kuhusu wakati unapokusanyika na kwa Andiko gani.
Ndio maana nakuuliza wewe unakusanyika lini na kwa andiko gani ?
Tuwekee hapa ili tujifunze na sisi siku ya kukusanyika
Mimi pia nimekulia katika kuabudu jumapili,Luka 4:16,Akaenda Nazareti mahali alipolelewa na siku ya Sabato akaingia kwenye Sinagogi kama desturi yake . Jumamosi ndioSabato ya kupumzika na kustarehe kanisa.Sio Mimi ni maaandiko yanasema.Kutoka 20:---yote soma.Nakutakia siku NJEMA.
Weka andiko kutokana na maelezo yako.Kukusanyika ni muda wowote kulingana na shughuli na Ibada mtakazoamua,
Lakini, siku kuu ya kukusanyika Kwa Ibada ni siku ya Saba ya juma.
Na haikuwahi kubadilika.
Andiko lililopo ni siku ya Saba ya juma,Weka andiko kutokana na maelezo yako.
Wakristu hawasherehekei tarehe, bali tukio la kuzaliwa kwa mwokozi wao Yesu KristuSalam, Shalom!!
Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili?
Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku,
Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli.
Na Mungu hufanya KAZI muda wote, hata sasa afanya KAZI.
Mungu anakuuliza Ewe Mkristo kupitia thread hii, ni nani aliyekwambia kukusanyika Jumapili Kwa ibada takatifu?
Ukiulizwa andiko utalitoa wapi?
Ni nani aliyekuagiza kusherehekea sikukuu ya Christmas tarehe 25 December?
Unalo andiko? Ni maagizo ya Roho mtakatifu kufanya mambo hayo?
NB: Mkristo aulizwaye swali hili ni yule aliyeokoka, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho Mtakatifu, yule aaminiye juu ya karama Tano, unabii ukiwemo, aaminiye juu ya kunena Kwa lugha, aliyefunguliwa macho ya Rohoni na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu wazi WAZI.
ANGALIZO; Hii Si mada kuhusu Ukristo kama DINI, Bali Ukristo kama IMANI juu ya Yesu Kristo na maisha matakatifu.
Karibuni.[emoji120]
Umesema kweli mtu akisema tofauti na haya ni ubishi tuKukusanyika ni muda wowote kulingana na shughuli na Ibada mtakazoamua,
Lakini, siku kuu ya kukusanyika Kwa Ibada ni siku ya Saba ya juma.
Na haikuwahi kubadilika.
(Mambo ya walawi 23:7) Si siku ya kwanza ya juma, ni siku ya kwanza ya mwezi wa pasaka.Weka andiko kutokana na maelezo yako.
Msingi mkuu wa Imani ya kikristo ni UFUFUKO WA YESU; na kimsingi Shetani amejitahidi sana kuaminisha watu kwamba hakufufuka. Maana imeandikwa, kama Kristo asingalifufuka IMANI yetu ingalikuwa bure!Salam, Shalom!!
Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili?
Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku,
Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli.
Na Mungu hufanya KAZI muda wote, hata sasa afanya KAZI.
Mungu anakuuliza Ewe Mkristo kupitia thread hii, ni nani aliyekwambia kukusanyika Jumapili Kwa ibada takatifu?
Ukiulizwa andiko utalitoa wapi?
Ni nani aliyekuagiza kusherehekea sikukuu ya Christmas tarehe 25 December?
Unalo andiko? Ni maagizo ya Roho mtakatifu kufanya mambo hayo?
NB: Mkristo aulizwaye swali hili ni yule aliyeokoka, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho Mtakatifu, yule aaminiye juu ya karama Tano, unabii ukiwemo, aaminiye juu ya kunena Kwa lugha, aliyefunguliwa macho ya Rohoni na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu wazi WAZI.
ANGALIZO; Hii Si mada kuhusu Ukristo kama DINI, Bali Ukristo kama IMANI juu ya Yesu Kristo na maisha matakatifu.
Karibuni.🙏
Kwa hiyo unataka kusemaje na hili andiko?Matendo 20:7 . Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana kumega mkate, Paulo akasema nao...
Great! Anataka hadi aone neno JUMAPILI kwenye andiko! Aendelee kusubiri.Matendo 20:7 . Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana kumega mkate, Paulo akasema nao...
Kwa hiyo ibada zilianza baada ya kufufuka kwa Yesu kabla ya hilo tukio hapakuwa na makusanyiko ya ibada?Msingi mkuu wa Imani ya kikristo ni UFUFUKO WA YESU; na kimsingi Shetani amejitahidi sana kuaminisha watu kwamba hakufufuka. Maana imeandikwa, kama Kristo asingalifufuka IMANI yetu ingalikuwa bure!
Keywords hapo ni FUFUKA na IMANI. Wakristo wanakusanyika lini? Jumapili! Ili? KUAMINI! Nini? UFUFUKO! Wa nani? YESU! Kwanini! WAMEKOMBOLEWA!
Lakini je, ROHO MTAKATAIFU hakuliunda Kanisa lake siku ile ya PENTECOSTE? Nayo ni Jumapili? Siku ile hawakamwabudu Mungu katika KWELI na ROHO?
Kama unasubiri andiko likuambie kaabudu Jumapili utasubiri sana!
Matendo ya Mitume 20:7PAULO KATIKA MOJA YA NYARAKA ZAKE ALISISITIZA WATU KUKUSANYIKA SIKU YA KWANZA YA JUMA, KUFANYA MATOLEO.SIKU HIYO NI JUMAPILI.WASABATO KUKUSANYIKA SIKU YA SABA YA JUMA NI UTAPELI.