Umewahi kusikia Argentina: The "Dirty War" (1976–1983). I can assure you Dictator General Jorge Rafael Videla hakuwa Musilam. Inakadirwa watu zaidi ya 20,000 walipotezwa. Watu walikuwa wanawekwa kwenye helicopter na kutupwa Atlantic Ocean.Dini inamchango mkubwa sana sana mfano msimamo wa uislam ni jino kwa jino ndio maana wanaamini katika kuteka na kuua tofauti kabisa na ukristo unao amini katoka upendo na aman, amini mimi wasingekuwepo wazungu hadi leo waarabu wangeendelea kuuza watumwa kwa kuwatoboa miguu na kupitisha minyororo
Pia Mungu huonya mara nyingi sana kabla hajachukua hatua nzito!Huyu mtesaji wa watanzania ipo siku naye atapumzishwa na mateso yatakuwa yamekoma,
Watanzania wamelia sana na Mungu amesikia kilio chao,
Mungu siku zote hawai wala hachelewi kujibu maombi, bali anajibu kwa wakati wake,
Madaraka huwa yana tabia ya kulewesha,
"Na alaaniwe mtu atwaaye ujira wa kumuua mtu hasiye na hatia,na wote waseme Ameen"....!! Kumbukumbu la torati 27:25,
'These killers think that God is coming from their Village!!!
Muda uliotumia kumwaga chuki na uzushi wako kwa ulioamua kuwachukia (kwa sababu zako) ungeutumia kumpanga mikalati ya kuzuia mkeo asichepuke ungekuwa umeisaidia sana familia Yako.Historia ya watoto wa Mobutu Sese Seko, Muammar Gaddafi na Saddam Hussein ina somo moja kubwa: watoto wanaporithi mamlaka ya baba zao bila kuwajibika kwa sheria, huanza kujiona warithi wa taifa badala ya raia wa taifa. Lakini mamlaka ya baba yalipoanguka, kinga yao pia ilianguka.
1. Watoto wa Saddam Hussein — Uday na Qusay
Uday Hussein alikuwa mtoto mkubwa wa Saddam. Alijulikana kwa ukatili, anasa na matumizi mabaya ya taasisi za umma. Aliongoza Kamati ya Olimpiki ya Iraq na Shirikisho la Soka, lakini wanamichezo walioshindwa waliripotiwa kufungwa, kupigwa na kuteswa. Pia alituhumiwa kwa mauaji, ubakaji, utekaji wa wanawake na uporaji wa mali.
Alikuwa ameigeuza Iraq kuwa uwanja wake wa starehe kwa sababu aliamini jina la baba yake lilikuwa juu ya sheria.
Qusay Hussein alikuwa mtulivu kuliko Uday, lakini alikuwa hatari zaidi kisiasa. Alisimamia vyombo vya usalama, Republican Guard na mfumo wa ukandamizaji. Saddam alimwandaa kama mrithi wake.
Utawala wa Saddam ulipoanguka mwaka 2003, Uday na Qusay walikimbia na kujificha katika nyumba moja mjini Mosul. Tarehe 22 Julai 2003, wote wawili waliuawa katika mapambano na wanajeshi wa Marekani. Watu waliokuwa wanawaogopa kiasi cha kutothubutu kuwatazama machoni waliishia kusaliti mahali walipojificha kwa ajili ya zawadi.
Somo: Walikuwa na walinzi wengi, lakini hawakuwa na wananchi wa kuwalinda.
2. Watoto wa Muammar Gaddafi
Gaddafi aliwapa watoto wake ushawishi mkubwa katika jeshi, biashara, diplomasia na taasisi za dola.
* Mutassim Gaddafi alikuwa mshauri wa usalama wa taifa na kamanda wa kijeshi. Alikamatwa na kuuawa Sirte mwaka 2011, siku ileile baba yake alipouawa.
* Khamis Gaddafi aliongoza “Khamis Brigade,” kikosi cha kijeshi kilichotuhumiwa kwa ukandamizaji mkali dhidi ya waasi. Aliripotiwa kuuawa wakati wa vita vya 2011.
* Saadi Gaddafi alikuwa mwanajeshi, mwanasoka na mfanyabiashara aliyefaidika na jina la baba yake. Baada ya utawala kuanguka alikimbilia Niger, baadaye akarudishwa Libya, akafungwa na kushtakiwa. Hatimaye aliachiwa na kuondoka nchini.
* Saif al-Islam Gaddafi alionekana kwanza kama msomi na mwanamageuzi, lakini wakati wa uasi wa 2011 alisimama upande wa ukandamizaji wa baba yake. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ilitoa hati ya kumkamata kwa tuhuma za uhalifu dhidi ya ubinadamu. Alikamatwa, akafungwa kwa miaka kadhaa, akahukumiwa kifo na mahakama ya Libya, kisha akaachiwa kwa msamaha. Alijaribu kurudi katika siasa, lakini tarehe 3 Februari 2026 aliuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake Zintan. Reuters
Watoto wengine walikimbilia Algeria, Oman au nchi nyingine. Familia iliyowahi kuitawala Libya kama mali binafsi ilitawanyika duniani kama wakimbizi.
Somo: Walirithi mamlaka ya baba yao, lakini walirithi pia hasira iliyokuwa imekusanywa na utawala wake.
3. Watoto wa Mobutu Sese Seko
Mobutu aliitawala Zaire sasa DRC—kwa miaka 32. Familia yake iliishi kwa anasa kubwa wakati wananchi wengi wakiwa maskini. Watoto na ndugu walipewa nafasi katika jeshi, benki, biashara na Serikali.
Kongulu, maarufu kama Kongolo Mobutu, alikuwa afisa katika kikosi maalumu cha ulinzi wa Rais. Alijulikana kwa maisha ya anasa, magari ya gharama, kamari na vitendo vya vitisho. Siku za mwisho za utawala wa baba yake alituhumiwa kutumia askari kuwashughulikia maadui zake.
Waasi walipoikaribia Kinshasa mwaka 1997, nguvu yake yote ilitoweka. Alikimbilia Brazzaville, nyumba yake ikaporwa na askari pamoja na wananchi. Baadaye aliishi uhamishoni Ulaya na kufariki Monaco mwaka 1998 akiwa na miaka 28.
Familia nzima ililazimika kukimbilia Morocco. Mobutu mwenyewe alikufa uhamishoni miezi michache baada ya kupinduliwa. Baadhi ya watoto wake waliendelea kuishi uhamishoni; wengine walirudi baadaye kama wanasiasa wa kawaida, bila mamlaka ya kifalme waliyokuwa nayo wakati wa baba yao. The Independent
Somo kubwa la historia
Watoto hawa hawakuanguka kwa sababu walikuwa watoto wa viongozi. Walianguka kwa sababu baadhi yao walichanganya mambo manne:
- Walidhani mamlaka ya baba yao ilikuwa haki yao ya kuzaliwa.
- Walichukulia mali ya umma kama urithi wa familia.
- Walitumia taasisi za taifa kutisha na kujinufaisha.
- Walidhani hofu ya wananchi ilikuwa sawa na upendo wa wananchi.
Lakini hofu hudumu wakati mwenye mamlaka ana bunduki. Upendo unaweza kubaki hata bunduki inaponyamaza.
Tatizo la kuwalea watoto wa watawala juu ya sheria ni kwamba wanakuwa na marafiki wengi wa mamlaka lakini hawana marafiki wa kweli. Madaraka yanapoanguka, simu hazipokelewi, milango inafungwa, walinzi wanakimbia na wale waliokuwa wanasujudu huanza kutoa siri.
Historia yao inatufundisha:
Ukimlea mtoto wa Rais kuamini kuwa taifa ni mali ya baba yake, usishangae siku taifa litakapomchukulia kama sehemu ya utawala unaopaswa kuondolewa.
Madaraka ya baba yanaweza kumpa mtoto kiti, mali, walinzi na heshima ya kulazimishwa lakini hayawezi kumpa uhalali. Na mamlaka yasiyojengwa juu ya sheria yanapoanguka, hayawaachi watoto wake wakiwa warithi; huwaacha wakiwa wakimbizi, wafungwa au wahanga wa hasira iliyokusanywa na baba zao.
Mungu haonyo kupitia mashetani wa jfPia Mungu huonya mara nyingi sana kabla hajachukua hatua nzito!
Jinga linatema upumbavu wake aliosimuliwa na viboyfriends vyake primary.Hata Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alipokuwa akipata chai, maji ya kunywa, lunch na kila kitu kutoka Paris, Ufaransa daily, alikuwa akiamini hivi hivi. Na pia ilikuwa hivyo kwa akina Sadam, Gaddafi, nk
🚮Jinga linatema upumbavu wake aliosimuliwa na viboyfriends vyake primary.
Inaonekana kifiro nilichokupa juzi hakijakutosha ee?!! Subiri nije kukufira tena mamamamamaee🚮
Wewe ckoko, kubwa jinga, mseng3.. ukiwashwa katafuta wafukua matope huko mbali. Idiot
🖕Inaonekana kifiro nilichokupa juzi hakijakutosha ee?!! Subiri nije kukufira tena mamamamamaee
Nakuulizaje, kifiro nilichokufira juzi hakijatosha nije kukufira tena?!!!🖕
***** mzoefu wa kufirwa wewe.
Usifikiri na wengine ni kama wewe
🖕Nakuulizaje, kifiro nilichokufira juzi hakijatosha nije kukufira tena?!!!
Kashfa kubwa kabisa za EPA, Ununuzi wa rada, IPTL ilianzia utawala wa Mkapa, Ubinafsishaji kiholela na wa kifisadi wa nyumba na mashirika ya umma, mikataba tata katika sekta ya madini nakadhalika.Mkuu Dini inamchango wake tena mkubwa kabisa mfano angalia marais walio pita pia angalia familia zao
Baada ya 2030 atutueleza vizuriMuda uliotumia kumwaga chuki na uzushi wako kwa ulioamua kuwachukia (kwa sababu zako) ungeutumia kumpanga mikalati ya kuzuia mkeo asichepuke ungekuwa umeisaidia sana familia Yako.
Kumchukia Samia na familia yake hakukusaidii lolote. Those uncalled for motherf**#king evil wishes zilizoujaza moyo wako kwa familia iliyokuzidi baraka Toka kwa Mungu zitakutesa mwenyewe tu na kukufanya maisha uyaone magumu zaidi. Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, yupo Hadi 2030 na watanzania tumemwambia ailinde mama Tanzania kwa moyo wenye wivu mnooo.
Hivi polepole huyu mmeanza kumpenda lini?!!!! Wanafiki wakubwa!!
Mimi sio muislam ila kwa hili kwamba hawalei watoto vyema nawatetea.Viongozi wengi wakiislam hawajui kulea watoto wao wengi wamewalea kwenye maisha ya kuponda raha bila kujali kesho, hata viongozi wake ni ovyo kabisa wao huangalia leo tu.
mfano angalia maraisi wetu kati ya watoto wa viongozi wa kikisto na watoto wa viongozi wa waislam. pia marais wakikristo wao hujenga nchi vizuri hata kuweka misingi bora lakini kobasi wakiingia huaribu mipango yote.
Hapana. Makatili ni wa DINI zote.Dini inamchango mkubwa sana sana mfano msimamo wa uislam ni jino kwa jino ndio maana wanaamini katika kuteka na kuua tofauti kabisa na ukristo unao amini katoka upendo na aman, amini mimi wasingekuwepo wazungu hadi leo waarabu wangeendelea kuuza watumwa kwa kuwatoboa miguu na kupitisha minyororo
Umemaliza mkuu. HongeraUmewahi kusikia Argentina: The "Dirty War" (1976–1983). I can assure you Dictator General Jorge Rafael Videla hakuwa Musilam. Inakadirwa watu zaidi ya 20,000 walipotezwa. Watu walikuwa wanawekwa kwenye helicopter na kutupwa Atlantic Ocean.
Umewahi kusikia Chile: The Pinochet Regime (1973–1990)? Yule pia alipoteza watu karibia 30,000
Of course tunao kina Sadaam Hussein, na akina Ayatollah kwa upande mwingine, bila kuwasahua Wafalme was Saudi Arabia ambao mpaka leo wanakata watu vichwa hadharani.
Tusimsahau Pol Pot was Cambodia. Dini tofauti kabisa, sio Mkristo au Muislam. Aliua mamilioni.
Point yangu ni kwamba binadamu wote wana uwezo wa kuwa mashetani regardless wamelelewa dini gani.
Kuingiza dini kwenye mijadala hii sio tu kunapoteza fursa ya kujadili tatizo kwa kina bali kinawasaidi watawala kutumia mwanya keundelea na uovu kwa kisingizio cha dini.
Duu sikujua hata katika hili ungeleta udini, okey mtoto wa hayati mwinyi ni kiongozi mkubw tuu na msomi, mtoto wa kikwete ni kiongozi, na hata wale usiowajua pia wako poa tuu. Sjmjui mtoto wa mkapa, wa mwalimu namjua madarak ambae pia sio mtu mbayaViongozi wengi wakiislam hawajui kulea watoto wao wengi wamewalea kwenye maisha ya kuponda raha bila kujali kesho, hata viongozi wake ni ovyo kabisa wao huangalia leo tu.
mfano angalia maraisi wetu kati ya watoto wa viongozi wa kikisto na watoto wa viongozi wa waislam. pia marais wakikristo wao hujenga nchi vizuri hata kuweka misingi bora lakini kobasi wakiingia huaribu mipango yote.