Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

Viongozi wengi wakiislam hawajui kulea watoto wao wengi wamewalea kwenye maisha ya kuponda raha bila kujali kesho, hata viongozi wake ni ovyo kabisa wao huangalia leo tu.

mfano angalia maraisi wetu kati ya watoto wa viongozi wa kikisto na watoto wa viongozi wa waislam. pia marais wakikristo wao hujenga nchi vizuri hata kuweka misingi bora lakini kobasi wakiingia huaribu mipango yote.
Umeharibu mno mada muhimu sana kuingiza dini mahala pasipo pake.

Mtoa mada amesema historia ya Watawala wote, wakristo na waislam kwa mifano. Kilichokuvutia kuwaponda Waislam ni nini mkuu.
 
Nilivyosoma uzi wako nimekumbuka hiki kitabu.

The Children of Monsters: An Inquiry into the Sons and Daughters of Dictators (Jay Nordlinger — Encounter Books)

One of the most interesting books I have ever read. It is such a profound book with powerful lessons on the futility of pride, the senselessness of violence, and the vapidness of self- aggrandizing power.

It looks into the famillies of 20 dictators from different parts of the world and showcases how they lived when they were in power and what happened when they lost it all.

The families studied include those of Mussolini (Italy), Franco (Spain), Hoxha (Albania), Ceauşescu (Romania), Stalin (USSR), Castro (Cuba), Bokassa (CAR), Mengistu (Ethiopia), Pol Pot (Cambodia), etc
 
Halafu kuna podcast inaitwa Real Dictators (by Noiser) — ipo Spotify.

Miaka nenda rudi kila nikiwa natembea au nafanya mazoezi naisikiliza. Saa zingine unasikia kitu kinakushtua mpaka inabidi ukae chini kwanza.

Hii podcast ina vipindi vingi sana na kama kitabu nilichopost juu hapo kinaongelea dictators wa nchi tofauti lakini inaangalia kiundani zaidi maisha yao yote — walipozaliwa, walianzaje mambo ya siasa, waliingiaje madarakani, anguko lao, etc

Kila dictator historia yake inaelezwa kupitia vipindi tofauti (mbili mpaka hata kumi).

Kuna vipindi kuhusu Papa Doc (Duvalier père — Haiti), Pinochet (Chile), Nguema (Equatorial Guinea), lakini wana vipindi kuhusu wa zamani zaidi pia kama Julius Caesar, Genghis Khan, etc
 
Dully wa kizimkazi analo la.kujifunza hapa
Kwa jinsi inchi yetu ilivyo haliwezekani huenda kutokea mpka Tanzania ipate ukombozi mifumo na muuundo wa serikari ubadilishwe I mean katiba na kila kitu Ila bila hivyo kutokea hayo yaliotokea kwa watoto wa viongozi kutokea kwa mtoto wa Mdox ngumu sana wanakuwa a kinda kubwa sana
 
Tunaelekea huko kwa kasi
 
Duu sikujua hata katika hili ungeleta udini, okey mtoto wa hayati mwinyi ni kiongozi mkubw tuu na msomi, mtoto wa kikwete ni kiongozi, na hata wale usiowajua pia wako poa tuu. Sjmjui mtoto wa mkapa, wa mwalimu namjua madarak ambae pia sio mtu mbaya
Zingatia hoja husika
 
Mimi sio muislam ila kwa hili kwamba hawalei watoto vyema nawatetea.

Hussein Mwinyi ni mfano.

Kigoma Malima, ni mfano.

January Makamba ni mfano.

Vita Kawawa na nduguze ni mfano.

Mariam Ditopile ni mfano.

Wanu mtoto wa Samia ni mfano

Wote hao ni waislam waliolelewa na wazazi wao Waislam na kuwarithisha uongozi. Na wako weeengi mno.
Wan kaka yake yupoje, Hii hoja inahitaji utulivu
 
Kashfa kubwa kabisa za EPA, Ununuzi wa rada, IPTL ilianzia utawala wa Mkapa, Ubinafsishaji kiholela na wa kifisadi wa nyumba na mashirika ya umma, mikataba tata katika sekta ya madini nakadhalika.

Hizi ni baadhi tu ya kashfa kubwa za kifisadi ambazo zote zilitokea katika utawala wa Mkapa ambaye ni mkiristo.

Acha udini watu watafukia makaburi hadi ufisadi mkubwa wa zaidi ya 1.2 trilioni kipindi cha Jiwe ambazo hazijulikani zilipoenda.
Hata Nyerere anayo makosa yake lakini siyo kama kobasi, katika uongozi wao , Huyo mkapa wakati anamaliza uongozi wake alijaribu kupunguza deni la taifa kwa kulipa mkopo lakini angali mtangulizi wake kile alicho fanya.
 
Inasikitisha sana
 
Viongozi wengi wakiislam hawajui kulea watoto wao wengi wamewalea kwenye maisha ya kuponda raha bila kujali kesho, hata viongozi wake ni ovyo kabisa wao huangalia leo tu.

mfano angalia maraisi wetu kati ya watoto wa viongozi wa kikisto na watoto wa viongozi wa waislam. pia marais wakikristo wao hujenga nchi vizuri hata kuweka misingi bora lakini kobasi wakiingia huaribu mipango yote.
Sema tu Wagalatia mna roho mbaya mpk kwa familia zenu. Sasa mnaona wivu
 
Polepole amesahaulika jamani inauma hakuna movement za kumnasua ni mdogo wake na familia yake inayopambana kwa kweli mdogo mtu amepambana wee na hana support hili taifa watu wanafiki sana hata lissu aliejitolea kwa mengi kwa taifa hili ila watu wanepoa na hawana habari,Gwajim peke yake ndiyo aliethubutu tumekosa umoja kabisa wa kupaza sauti,Roma alivyotekwa watu hawakutulia watu walipaza sauti na akaachiwa why polepole
 
Tunakusubiri kwa hamu kwenye kona
 
Back
Top Bottom