Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

Umewahi kusikia Argentina: The "Dirty War" (1976–1983). I can assure you Dictator General Jorge Rafael Videla hakuwa Musilam. Inakadirwa watu zaidi ya 20,000 walipotezwa. Watu walikuwa wanawekwa kwenye helicopter na kutupwa Atlantic Ocean.

Umewahi kusikia Chile: The Pinochet Regime (1973–1990)? Yule pia alipoteza watu karibia 30,000

Of course tunao kina Sadaam Hussein, na akina Ayatollah kwa upande mwingine, bila kuwasahua Wafalme was Saudi Arabia ambao mpaka leo wanakata watu vichwa hadharani.

Tusimsahau Pol Pot was Cambodia. Dini tofauti kabisa, sio Mkristo au Muislam. Aliua mamilioni.

Point yangu ni kwamba binadamu wote wana uwezo wa kuwa mashetani regardless wamelelewa dini gani.
Kuingiza dini kwenye mijadala hii sio tu kunapoteza fursa ya kujadili tatizo kwa kina bali kinawasaidi watawala kutumia mwanya keundelea na uovu kwa kisingizio cha dini.
 
Pia Mungu huonya mara nyingi sana kabla hajachukua hatua nzito!
 
Muda uliotumia kumwaga chuki na uzushi wako kwa ulioamua kuwachukia (kwa sababu zako) ungeutumia kumpanga mikalati ya kuzuia mkeo asichepuke ungekuwa umeisaidia sana familia Yako.

Kumchukia Samia na familia yake hakukusaidii lolote. Those uncalled for motherf**#king evil wishes zilizoujaza moyo wako kwa familia iliyokuzidi baraka Toka kwa Mungu zitakutesa mwenyewe tu na kukufanya maisha uyaone magumu zaidi. Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, yupo Hadi 2030 na watanzania tumemwambia ailinde mama Tanzania kwa moyo wenye wivu mnooo.

Hivi polepole huyu mmeanza kumpenda lini?!!!! Wanafiki wakubwa!!
 
Hata Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alipokuwa akipata chai, maji ya kunywa, lunch na kila kitu kutoka Paris, Ufaransa daily, alikuwa akiamini hivi hivi. Na pia ilikuwa hivyo kwa akina Sadam, Gaddafi, nk
Jinga linatema upumbavu wake aliosimuliwa na viboyfriends vyake primary.
 
Mkuu Dini inamchango wake tena mkubwa kabisa mfano angalia marais walio pita pia angalia familia zao
Kashfa kubwa kabisa za EPA, Ununuzi wa rada, IPTL ilianzia utawala wa Mkapa, Ubinafsishaji kiholela na wa kifisadi wa nyumba na mashirika ya umma, mikataba tata katika sekta ya madini nakadhalika.

Hizi ni baadhi tu ya kashfa kubwa za kifisadi ambazo zote zilitokea katika utawala wa Mkapa ambaye ni mkiristo.

Acha udini watu watafukia makaburi hadi ufisadi mkubwa wa zaidi ya 1.2 trilioni kipindi cha Jiwe ambazo hazijulikani zilipoenda.
 
Mimi sidhani dini ina uhusioano na haya mambo.
Mifano mikubwa ya mtoa mada imehusha dini zote.

Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely.
Haijali dini, rangi, kabila nk.
Uko sahihi
 
Baada ya 2030 atutueleza vizuri
 
Mimi sio muislam ila kwa hili kwamba hawalei watoto vyema nawatetea.

Hussein Mwinyi ni mfano.

Kigoma Malima, ni mfano.

January Makamba ni mfano.

Vita Kawawa na nduguze ni mfano.

Mariam Ditopile ni mfano.

Wanu mtoto wa Samia ni mfano

Wote hao ni waislam waliolelewa na wazazi wao Waislam na kuwarithisha uongozi. Na wako weeengi mno.
 
Hapana. Makatili ni wa DINI zote.

Wafuatao walipata madhara au vifo enzi za Magufuli.

1 Sanane.
2. Lissu (risasi 16)
3.Lwajebe akiuwawa.
4. Mawazo.
5 Maiti za viroba mto Ruvu
6. Shamba la Mbowe kuharibiwa
7. Nk nk nk
 
Umemaliza mkuu. Hongera
 
Duu sikujua hata katika hili ungeleta udini, okey mtoto wa hayati mwinyi ni kiongozi mkubw tuu na msomi, mtoto wa kikwete ni kiongozi, na hata wale usiowajua pia wako poa tuu. Sjmjui mtoto wa mkapa, wa mwalimu namjua madarak ambae pia sio mtu mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…