DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Zuri kweli lina maana gani? Mimi nikipata mwingine namuita NINA-WANE (maana yake mama yangu)Mi wangu nataka nimuite Sunny/Sunnie
Unaonajeπ
Wa kiume au wa kikeMi wangu nataka nimuite Sunny/Sunnie
Unaonajeπ
Kule Tanga Mohamed wanaita Mwamadiπ πSijui ni Tanzania pekee, au nchi zote za kiafrika! Majina mazuri kama Abdallah eti abdala au dula, Salim eti salumu, Omar eti Omi au omali, Said eti saidi au side, Maryam eti Maliamu, jaafar eti jafali, Qulthum eti kuluthumu au kurusumu, Raashid eti lashidi, Hassan eti hasani, hussein eti huseni, Sulaiman eti sele au selemani, nasor eti nasolo, hamad eti amadi au hamadi, sultan eti sulutani
Aise wengi hawajui kuyatamka wala kuyaandika
Sawa na kwenye kabila langu,Mpoki ni kwa jinsia zote.Hayo majina yanatumika na jinsia zote
Zuri kweli lina maana gani? Mimi nikipata mwingine namuita NINA-WANE (maana yake mama yangu)
Sunshine wa kike ,ila kifupi ni hiyo sunny or sunnie inaweza kuwa nicknameWa kiume au wa kike
HahahaaMajina ya kihaya utacheka ,
Mengi ni ya kilatini ili waonekane wamesoma sana.
πππHahahaa
Remigius, Renatus, Ignatius, desderius, amedeus, romanus,
duh ! wahaya wanajipa majina ya kigiriki πππHahahaa
Remigius, Renatus, Ignatius, desderius, amedeus, romanus,
Hahahaaaaduh ! wahaya wanajipa majina ya kigiriki πππ
YaapMnajuwa huyu?
Wahaya ni noumar hahahaaaπππ
Mimi nilimquote huyo jamaa aliesema kuna mchezaji wa simba anaitwa DeborahHuko kwao wapi labda ulaya lakini bongo hii mtoto wa kiume akishaitwa sesi ni tatizo.
Na wengi wa hivi unakuta ni watoto wa ma-single mama,unakuta walikaa binti na mamaye wakashauriana kumuita mtoto hivyo wakati hata maana ya hilo hawaijui.
Deborah MavamboMimi nilimquote huyo jamaa aliesema kuna mchezaji wa simba anaitwa Deborah