DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Mapunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuri kweli lina maana gani? Mimi nikipata mwingine namuita NINA-WANE (maana yake mama yangu)Mi wangu nataka nimuite Sunny/Sunnie
Unaonaje😂
Wa kiume au wa kikeMi wangu nataka nimuite Sunny/Sunnie
Unaonaje😂
Kule Tanga Mohamed wanaita Mwamadi😅😅Sijui ni Tanzania pekee, au nchi zote za kiafrika! Majina mazuri kama Abdallah eti abdala au dula, Salim eti salumu, Omar eti Omi au omali, Said eti saidi au side, Maryam eti Maliamu, jaafar eti jafali, Qulthum eti kuluthumu au kurusumu, Raashid eti lashidi, Hassan eti hasani, hussein eti huseni, Sulaiman eti sele au selemani, nasor eti nasolo, hamad eti amadi au hamadi, sultan eti sulutani
Aise wengi hawajui kuyatamka wala kuyaandika
Sawa na kwenye kabila langu,Mpoki ni kwa jinsia zote.Hayo majina yanatumika na jinsia zote
Zuri kweli lina maana gani? Mimi nikipata mwingine namuita NINA-WANE (maana yake mama yangu)
Sunshine wa kike ,ila kifupi ni hiyo sunny or sunnie inaweza kuwa nicknameWa kiume au wa kike
HahahaaMajina ya kihaya utacheka ,
Mengi ni ya kilatini ili waonekane wamesoma sana.
😂😂😂Hahahaa
Remigius, Renatus, Ignatius, desderius, amedeus, romanus,
duh ! wahaya wanajipa majina ya kigiriki 😃😃😃Hahahaa
Remigius, Renatus, Ignatius, desderius, amedeus, romanus,
Hahahaaaaduh ! wahaya wanajipa majina ya kigiriki 😃😃😃
YaapMnajuwa huyu?
![]()
Cecil Rhodes - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Wahaya ni noumar hahahaaa
Mimi nilimquote huyo jamaa aliesema kuna mchezaji wa simba anaitwa DeborahHuko kwao wapi labda ulaya lakini bongo hii mtoto wa kiume akishaitwa sesi ni tatizo.
Na wengi wa hivi unakuta ni watoto wa ma-single mama,unakuta walikaa binti na mamaye wakashauriana kumuita mtoto hivyo wakati hata maana ya hilo hawaijui.
Deborah MavamboMimi nilimquote huyo jamaa aliesema kuna mchezaji wa simba anaitwa Deborah