Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

Sijui ni Tanzania pekee, au nchi zote za kiafrika! Majina mazuri kama Abdallah eti abdala au dula, Salim eti salumu, Omar eti Omi au omali, Said eti saidi au side, Maryam eti Maliamu, jaafar eti jafali, Qulthum eti kuluthumu au kurusumu, Raashid eti lashidi, Hassan eti hasani, hussein eti huseni, Sulaiman eti sele au selemani, nasor eti nasolo, hamad eti amadi au hamadi, sultan eti sulutani

Aise wengi hawajui kuyatamka wala kuyaandika
 
Kule Tanga Mohamed wanaita Mwamadi😅😅
 
Huko kwao wapi labda ulaya lakini bongo hii mtoto wa kiume akishaitwa sesi ni tatizo.

Na wengi wa hivi unakuta ni watoto wa ma-single mama,unakuta walikaa binti na mamaye wakashauriana kumuita mtoto hivyo wakati hata maana ya hilo hawaijui.
Mimi nilimquote huyo jamaa aliesema kuna mchezaji wa simba anaitwa Deborah
 
Back
Top Bottom