Ewe mzazi kama unaishi na mwanao au jamaa ambaye ni Jobless, basi zingatia haya

Sure bro hilo lipo ndani ya uwezo wetu kabisa kaka
 
Ondoa shaka kabisa, chama kita wapigania ma jobless.

Hiyo mbinu ya kupunguziwa au kuto kulipa mahari ni ya kawaida mno.
tuna weza wapa hela, halafu usiku Zika rudi kwetu πŸ˜‚πŸ˜†.
min -me, makutupora
 
Ondoa shaka kabisa, chama kita wapigania ma jobless.

Hiyo mbinu ya kupunguziwa au kuto kulipa mahari ni ya kawaida mno.
tuna weza wapa hela, halafu usiku Zika rudi kwetu πŸ˜‚πŸ˜†.
min -me, makutupora
Tuna mkakati sio tu wa kutolipa mahari Bali kuoa bure na Baba mkwe akakupa mtaji!

Msiwe na shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…