Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee !!Ndo maana leo mjini vituo vingi hakuna mafuta kumbe bei kesho inabadilika. Wakati wenu huu wafanyabiashara
Mama anafungua nchi,ccm wako hoi hawaamini namba tunaisoma naoPetrol ni Tshs 3410 kwa lita 1
Dizeli ni Tsh 3322 kwa lita 1...
Akina Zitto wangekuwa wanapayuka sana lakini sasa hivi kimya wanalamba asali.Wale mashangazi wapo kimya angekuwa mnyonge wao Mwendazake twitter inge lipuka bin kufongoka.
Okay tujiandae na mlipuko mwengine wa bei za vyakula mitaani,hapo sasa tufunge Mikanda kama hauna mkanda funga mkwiji.
Wale wenye mimba zao za chuki za Mwendazake zisizo komaa hizi bei hazi wahusu hizi special kwa Sukuma Gang.
Hilo liZitto ni takataka kabisa! A very foolish little puppet!!!Akina Zitto wangekuwa wanapayuka sana lakini sasa hivi kimya wanalamba asali.
[emoji38][emoji38][emoji38]10,000 ukiingia sheli unapata lita 2.5
10,000 ukiingia bar unapata bia 6 na buku linabaki
Ila maza sijui anatuonaje
Kumbe ni kweli gari inakua na mifumo yote 2 gas and fuel? I thought ni either uchague gas or fuel. Nzuri hiiAhahha mim nkiweka ka ist kangu gesi ya elfu 50 full natumia wiki 2 na nusu ndio naenda tena ubungo kujaza... wese nishasahau labda niwe na safar ya mkoa ndio najaza
Kwanini msiingie front wenyeweHilo liZitto ni takataka kabisa! A very foolish little puppet!!!
Wanatumika vibaya sana hawa vijana. Hawajui wanachokifanya.
Mwenzake kawa kilema kwa uroporopo wa kudalalia mabeberu. Siku hizi analamba asali huku anauguza madonda ya risasi.
Bure kabisa!
Akina Zitto wangekuwa wanapayuka sana lakini sasa hivi kimya wanalamba asali.
Hahaha, we jamaa bwana!Hilo liZitto ni takataka kabisa! A very foolish little puppet!!!
Wanatumika vibaya sana hawa vijana. Hawajui wanachokifanya.
Mwenzake kawa kilema kwa uroporopo wa kudalalia mabeberu. Siku hizi analamba asali huku anauguza madonda ya risasi.
Bure kabisa!
UmerogwaKupanda kwa bei ya Mafuta sio jambo la Ajabu, tunalalamika sana bila kufanya tafiti katika Nchi nyingie wakwemo majirani zetu na hata kule Ulaya na Marekani...
Hahahah gas usifunge wataalamu hamna ~ aliskika mmachinga mmoja mwana jfHivi shilling ngapi kufunga Mfumo wa gas..
Vipi gas inaweza kukufikisha safari ya dar mbeya