EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

Wale mashangazi wapo kimya angekuwa mnyonge wao Mwendazake twitter inge lipuka bin kufongoka.

Okay tujiandae na mlipuko mwengine wa bei za vyakula mitaani,hapo sasa tufunge Mikanda kama hauna mkanda funga mkwiji.

Wale wenye mimba zao za chuki za Mwendazake zisizo komaa hizi bei hazi wahusu hizi special kwa Sukuma Gang.
Akina Zitto wangekuwa wanapayuka sana lakini sasa hivi kimya wanalamba asali.
 
Hilo liZitto ni takataka kabisa! A very foolish little puppet!!!

Wanatumika vibaya sana hawa vijana. Hawajui wanachokifanya.

Mwenzake kawa kilema kwa uroporopo wa kudalalia mabeberu. Siku hizi analamba asali huku anauguza madonda ya risasi.

Bure kabisa!
 
Ahahha mim nkiweka ka ist kangu gesi ya elfu 50 full natumia wiki 2 na nusu ndio naenda tena ubungo kujaza... wese nishasahau labda niwe na safar ya mkoa ndio najaza
Kumbe ni kweli gari inakua na mifumo yote 2 gas and fuel? I thought ni either uchague gas or fuel. Nzuri hii
 
Hilo liZitto ni takataka kabisa! A very foolish little puppet!!!

Wanatumika vibaya sana hawa vijana. Hawajui wanachokifanya.

Mwenzake kawa kilema kwa uroporopo wa kudalalia mabeberu. Siku hizi analamba asali huku anauguza madonda ya risasi.

Bure kabisa!
Kwanini msiingie front wenyewe
Akina Zitto wangekuwa wanapayuka sana lakini sasa hivi kimya wanalamba asali.
 
Maza kapiga pasi ndefu pale
 
Hilo liZitto ni takataka kabisa! A very foolish little puppet!!!

Wanatumika vibaya sana hawa vijana. Hawajui wanachokifanya.

Mwenzake kawa kilema kwa uroporopo wa kudalalia mabeberu. Siku hizi analamba asali huku anauguza madonda ya risasi.

Bure kabisa!
Hahaha, we jamaa bwana!
 
Kupanda kwa bei ya Mafuta sio jambo la Ajabu, tunalalamika sana bila kufanya tafiti katika Nchi nyingie wakwemo majirani zetu na hata kule Ulaya na Marekani.

Tungekuwa walau tunaipongeza Serikali yetu kwa hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuweka ruzuku kwa kila lita....Jambo hilo jepesi.

Badala ya kuwavunja moyo na kuwashambulia viongozi wetu, tuungane kwa pamoja kama Taifa tukiwa na uelewa wa pamoja kuwa, suala la kupanda kwa bei ya Mafuta sio la kisiasa.
 
IMG-20220803-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom