EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

Kama vipi biashara ya mafuta ifanywe na serikali pekee. Hawa wafanyabiashara wanaringia hizo sheli za mafuta. Hawajaoi utu.
 
Kama vipi biashara ya mafuta ifanywe na serikali pekee. Hawa wafanyabiashara wanaringia hizo sheli za mafuta. Hawajaoi utu.
anaepanga bei ndiyo hana utu
 
hata ndoa ina masharti lakini mkeo kama hajisikii huwezi mpanda kwa nguvu! Iko haki ya mfanya biashara! mahakama za biashara akiishitaki ewura anashinda!

SIYO LAZIMA KILA SIKU KUFUNGUA, kituo cha mafuta siyo zahanati
Acha kuonesha upumbavu wako kichwani kaa kimya. Hujiulizi kwa nn leo wote wanauza maza fanta WEWE
 
Kama vipi biashara ya mafuta ifanywe na serikali pekee. Hawa wafanyabiashara wanaringia hizo sheli za mafuta. Hawajaoi utu.
Monopoly
Ina faida na hasara zake
Hasara ni nyingi kuliko faida
 
Wanaobishana na jamaa unakuta hawana hata duka. Jiulize Kuna siku mwenyekiti wa mtaa ashamfata Mangi na kumuuliza kwa nini Leo hajafungua wakati anatoa huruma ya jamii? Au kwann Sweet Corner bar imechelewa kufungua wakati watu wanahutaji huduma?
 
Wanaobishana na jamaa unakuta hawana hata duka. Jiulize Kuna siku mwenyekiti wa mtaa ashamfata Mangi na kumuuliza kwa nini Leo hajafungua wakati anatoa huruma ya jamii? Au kwann Sweet Corner bar imechelewa kufungua wakati watu wanahutaji huduma?


Ona hii nyingine hapa!

Yani umekaa unafananisha kiduka cha mtaani kwako unachokopa sembe na biashara ya Petroleum & Diesel?

Kwamba pale sweet corner unapoenda kuokota ile mizoga ni Sawa na Engene or Puma or Total or Olympic petrol stations?

Umerogwa?!
 
Acha kuonesha upumbavu wako kichwani kaa kimya. Hujiulizi kwa nn leo wote wanauza maza fanta WEWE
HUJUI BIASHARA WEWE KAA KIMYA!
Serikali ndiyo walipaswa kuongeza SUPPLY ili kupunguza demand!
Regulator maana yake kujua namna ya kubalance soko!

wafanyabiashara wanayo haki ya kuchagua muda wa kufungua! kwasababu hawajamdhulumu mtu na hawana mkatabata na mteja!

kazi ya mfanyabiashara ni kuuza ..kazi ya Ewura ni kulinda ubora wa mafuta, bei elekezi na usalama wa vituo

Kuamrisha MUDA wa kufungua ni kuingilia haki ya mfanyabiashara
 
SIYO LAZIMA KILA SIKU KUFUNGUA, kituo cha mafuta siyo zahanati
Kwa nini unaona kuwa ZAHANATI inatakiwa ifunguliwe kila siku wakati nayo mmiliki anaweza kujipa off yeye na wafanyakazi wake kwa kuwa ametumia fedha yake kuijenga zahanati hiyo?
 
Mleta mada hivi unajua kuna mtu ameuwawa huku mkoa wa mara kwa iyo kadhia ya mafuta, wacha serikali ifanye kazi yake hatutakiwi kuwabembeleza wafanyabiashara kama unabembeleza mtoto kumpa uji wananchi wanaitaji huduma pia na uchumi unatakiwa kujengwa, sasa uchumi unajengwaje hali ya kuwa vituo vya kuuza mafuta vinafungwa. Jitafakari tena
 
regulator haimaanishi kulazimisha kufungua,
regulator waliyo nayo ni katika usala, ubora na upandaji bei!

REGULATOR Haiingilii uhuru wa mtu muda wa KUFUNGUA sijui unanielewa wewe!
MUDA WA KUFUNGUA ni maamuzi ya mfanya biashara!
Hii ni Biashara ya huduma na Ina mashariti yake. So kama hutaki hayo mashariti achana nayo. Mfano wa hii ni sawa na shule binafsi inatakiwa siku za masomo watoto wawepo shulen. Halafu wewe unakuja na uboya wako unachagua siku zako za kusoma.

Na unakuja na sababu hizo hizo eti majengo nimejenga mwenyewe. Walimu ninawalipa mwenyewe. Utafungiwa hiyo Biashara na adhabu juu
 
mfano uliotoa ni dhulma ...yaani hapo kuna mtu kazurumiwa masomo kwa ada haufanani hata kidogo!

mafuta yakiwa hapo sheli hayadaiwi na mtu ni mali ya muuzaji!
Muda wa kuuza anaamua muuzaji auze saa ngapi kwasababu hana deni ! hana mkataba na wateja!

sheli ni sawa na duka la madawa Siyo lazima kila siku nifungue muda wote, naweza kufunga nikaenda kuswali na hutakiwi kuhoji kwanini nimefunga!

Ewura mamlaka yao yana ukomo ..siyo kila kitu!
wanatakiwa wasimamia usalama, ubora wa mafuta, na waangalie bango na risiti ni za bei elekezi LAKINI KUNIPANGIA MUDA WA KUFUNGA NA KUFUNGUA KITUO Hii haikubaliki kwa mtu yoyote anayetambua haki na wajibu!
 
Rudisha leseni,,,nyie ndo wahujumu uchumi
 
Shida anaeongoza ewura nae hana akili kama supika yani wote magazijuto
 
mimi au wewe! Mwenye SHELI ANAYOHAKI KUAMKA HATA SAA TANO au asifingue kabisa,
MUDA wa kufungua ni wa kwake siyo wa mdhibiti!
Sikutegemea kama jf inawajinga namna hii, hii ni Aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…