Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Lakini EWURA wanashirikiana na hawa jamaa kutuhujumu....Hoja nzito kabisa na yenye maslahi mapana kwa taifa.
Bei ya mafuta imemapanda na EWURA wanaihujumu serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini EWURA wanashirikiana na hawa jamaa kutuhujumu....Hoja nzito kabisa na yenye maslahi mapana kwa taifa.
Lakini EWURA wanashirikiana na hawa jamaa kutuhujumu....
Bei ya mafuta imemapanda na EWURA wanaihujumu serikali
anaepanga bei ndiyo hana utuKama vipi biashara ya mafuta ifanywe na serikali pekee. Hawa wafanyabiashara wanaringia hizo sheli za mafuta. Hawajaoi utu.
mamlaka zakusajili maduka ya dawa hazimpangii muuzaji masaa ya kufungua dukaUnachofanya ni kukwepa mishale.
Sababu ya kufungiwa ni greediness.
Acha kuonesha upumbavu wako kichwani kaa kimya. Hujiulizi kwa nn leo wote wanauza maza fanta WEWEhata ndoa ina masharti lakini mkeo kama hajisikii huwezi mpanda kwa nguvu! Iko haki ya mfanya biashara! mahakama za biashara akiishitaki ewura anashinda!
SIYO LAZIMA KILA SIKU KUFUNGUA, kituo cha mafuta siyo zahanati
MonopolyKama vipi biashara ya mafuta ifanywe na serikali pekee. Hawa wafanyabiashara wanaringia hizo sheli za mafuta. Hawajaoi utu.
Wanaobishana na jamaa unakuta hawana hata duka. Jiulize Kuna siku mwenyekiti wa mtaa ashamfata Mangi na kumuuliza kwa nini Leo hajafungua wakati anatoa huruma ya jamii? Au kwann Sweet Corner bar imechelewa kufungua wakati watu wanahutaji huduma?
HUJUI BIASHARA WEWE KAA KIMYA!Acha kuonesha upumbavu wako kichwani kaa kimya. Hujiulizi kwa nn leo wote wanauza maza fanta WEWE
Kwa nini unaona kuwa ZAHANATI inatakiwa ifunguliwe kila siku wakati nayo mmiliki anaweza kujipa off yeye na wafanyakazi wake kwa kuwa ametumia fedha yake kuijenga zahanati hiyo?SIYO LAZIMA KILA SIKU KUFUNGUA, kituo cha mafuta siyo zahanati
imeharibiwa na wakubwaNchi imeshaharibika hii
Hii ni Biashara ya huduma na Ina mashariti yake. So kama hutaki hayo mashariti achana nayo. Mfano wa hii ni sawa na shule binafsi inatakiwa siku za masomo watoto wawepo shulen. Halafu wewe unakuja na uboya wako unachagua siku zako za kusoma.regulator haimaanishi kulazimisha kufungua,
regulator waliyo nayo ni katika usala, ubora na upandaji bei!
REGULATOR Haiingilii uhuru wa mtu muda wa KUFUNGUA sijui unanielewa wewe!
MUDA WA KUFUNGUA ni maamuzi ya mfanya biashara!
mfano uliotoa ni dhulma ...yaani hapo kuna mtu kazurumiwa masomo kwa ada haufanani hata kidogo!Hii ni Biashara ya huduma na Ina mashariti yake. So kama hutaki hayo mashariti achana nayo. Mfano wa hii ni sawa na shule binafsi inatakiwa siku za masomo watoto wawepo shulen. Halafu wewe unakuja na uboya wako unachagua siku zako za kusoma.
Na unakuja na sababu hizo hizo eti majengo nimejenga mwenyewe. Walimu ninawalipa mwenyewe. Utafungiwa hiyo Biashara na adhabu juu
Rudisha leseni,,,nyie ndo wahujumu uchumiIvi unajielewa kweli yani mtaji nitafte mwenyewe , vibali nilipie mwenyewe , bado mapato , alafu uje unipangie wa ku muzia mafuta , hivi unajua garama za kuendesha kituo cha mafuta? Kama kweli Ewura wana akili kwanini wasithibiti mgumuko wa bei? ...... wew huna hoja kajambe mbele
Shida anaeongoza ewura nae hana akili kama supika yani wote magazijutoHabari Wananchi
Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza!
Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni!
Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta:
- Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake,
- Anapotafta eneo la kujenga huwa peke yake
- Anapodaiwa mikopo huwa peke yake,
- Anapojenga kituo gharama huwa juu yake
- Anapoomba kibari Ewura hutozwa fedha ili kupatiwa kibali
- Mafuta yakishuka huwa ni hasara kwa mfanyabiashara mwenyewe
Kwa maana hiyo mfanyabiashara huyu mamlaka zinamtaka kuzingatia hali ya usalama na kuuza mafuta katika hali ya usalama lakini hawapaswi kabisa kumpangia wa kuwauzia!
Mfanyabiashara anayo haki ya kuamua Baadhi ya magari asiyauzie mafuta hiyo ni haki yake na hapaswi kushurutishwa
Mfanyabiashara anaweza kuamua kuuzia magari mfano aina Benz na BMW tu na akagoma kuuzia gari za toyota ni haki yake hapaswi kuuadhibiwa
Anaweza kataa kuuza kwa kuomboleza kifo cha ndugu yake ni haki yake hapaswi kushurutishwa
Anaweza kuamua kujipa likizo na wafanyakazi na hutakiwi kumshurutisha
Mtu ambaye hajawahi kuuza hata mihogo kisa kapewa mamlaka ya kudhibiti anaamua kufungia watu waliowekeza akili, pesa na nguvu! hii siyo sawa kabisa!
Ewura ni mdhibiti lakini ni katika hali ya ubora na usalama na siyo kupangia watu wakati na muda wa kuuza!
Ewura walipaswa kujiuliza wanakosea wapi kwanini wafanya biashara wafiche mafuta,
Kama wanaona ni raha kuuza basi wauze wao kila wilaya wajenge kituo cha mafuta wauze kwa bei rahisi kubalance soko,
Hebu tuwaze kidogo tu kama kweli Ewura wanawapenda sana wananchi kwanini bei inapanda kiholeka?
Kama Ewura wanajali wananchi kwanini hawaruhusu vibali vya vituo vya gesi barabara za mikoani? kwanini huwa wanagoma kutoa leseni za kujenga vituo vingi vya gesi CNG ukiachilia hivi viwili/vitatu dar nzima?
Kwanini vituo vya CNG vipo limited nani anayetoa hayo maelekezo kuzuia visijengwe kwa faida gani?
Badala ya kufungia hivi vituo vinavyojitafta kimaisha soko huria, Yangekuwa maoni yangu ningelifukuza team nzima ya Ewura ije akili mpya ambayo itadhibiti kwa Akili na siyo kizamani namna hii ambako kunaleta mwanya wa rushwa!
Nani atakuwa salama kama kituo kinaweza fungwa kwasababu kimejipa off? VIPI Kama watendaji wa Ewura wakiamua kuitumia hiyo kama fimbo kuomba rushwa na wasipopewa wanakifunga kwa KAULI ZA NAMNA HIYO?
Ni akili ya hovyo sana kufungia Wachuuzi wakati wenye matatizo ni EWURA WENYEWE
Sikutegemea kama jf inawajinga namna hii, hii ni Aibumimi au wewe! Mwenye SHELI ANAYOHAKI KUAMKA HATA SAA TANO au asifingue kabisa,
MUDA wa kufungua ni wa kwake siyo wa mdhibiti!