Hapn kak mm nazunguzia kipindi cha corona na. 2021 mm nilikuwa na deal na weze kwanj kila sikunilikiwa natumia Lita 200 za diseli sas kipindi hcho 2020 kuja 2021 Bei ya Lita moja ya deseli ilikuwa 1690 na petroli 1780 mzee magu hakunganngania Bei iwe juu alishusha weze Hadi humu mlishangilia kwa Bei hyoHujui kitu wewe....alikua anayafata Uarabuni na trenii!!!...
Tafuta data kwenye soko la dunia bei ya pipa 2018 halafu 2022 halafu ulete tofauti..
Babu una uhakika kweli bas mwinyi anaupiga mwingiZanzibar 2600[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] this's not fair kabisa
Naikumbuka hiyo bei, mkuu ilikuwa 2020 mwez wa tatu duuuuKuna kipindi mafuta yaliuzwa lita 1500 jee hao bodaboda na daladala walishusha nauli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu basi.....ukipata data kwenye soko na jumla ya kodi utajua. Sio Magu wala Samia. Ni muundo wa bei (cif) na kodi..Hapn kak mm nazunguzia kipindi cha corona na. 2021 mm nilikuwa na deal na weze kwanj kila sikunilikiwa natumia Lita 200 za diseli sas kipindi hcho 2020 kuja 2021 Bei ya Lita moja ya deseli ilikuwa 1690 na petroli 1780 mzee magu hakunganngania Bei iwe juu alishusha weze Hadi humu mlishangilia kwa Bei hyo
Pmj na sifa za magu A kutaka kukusanya pesa ili kujenga miradi yake ila hakuguza wezee aliendele kukomaa na weZi tu na Wala rushwa namkumbuka Sana magu
Kula kulala anajua nini huyo?Ukinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!
Wahuni mme panic?Msimuwekee maneno bas
Kibajaji ni msanii tu huyu.
Acha uongo nchi hii hakuna 2340 labda Kama ulikusudia kuandika 3240.Hapa Mwanakwerekwe kibao kinaonesha mafuta ni sh 2340/=
Tanzania yetu hakuna anayeweza kuongoza harakati, kila mtu mchumia tumbo tu. Hata akina Mbowe na Lisu wametiwa fupa la nyama mdomoni hawasikiki tena.Wasio wasanii tuwasubiri kutoka wapi na hadi lini kuongoza harakati za kuwakataa wahuni?
Njoo hapa MwanakwerekweAcha uongo nchi hii hakuna 2340 labda Kama ulikusudia kuandika 3240.
Nirudi kwenye mada, hapa mbarali 3252.