EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Hujui kitu wewe....alikua anayafata Uarabuni na trenii!!!...
Tafuta data kwenye soko la dunia bei ya pipa 2018 halafu 2022 halafu ulete tofauti..
Hapn kak mm nazunguzia kipindi cha corona na. 2021 mm nilikuwa na deal na weze kwanj kila sikunilikiwa natumia Lita 200 za diseli sas kipindi hcho 2020 kuja 2021 Bei ya Lita moja ya deseli ilikuwa 1690 na petroli 1780 mzee magu hakunganngania Bei iwe juu alishusha weze Hadi humu mlishangilia kwa Bei hyo

Pmj na sifa za magu A kutaka kukusanya pesa ili kujenga miradi yake ila hakuguza wezee aliendele kukomaa na weZi tu na Wala rushwa namkumbuka Sana magu
 
Mkuu basi.....ukipata data kwenye soko na jumla ya kodi utajua. Sio Magu wala Samia. Ni muundo wa bei (cif) na kodi..
 
Mwenye ile video ya Dkt Shika “Tutaelewana tu, lazima tuoneshane makali” naiomba.
 
Ukinunulia madem hiyo savannaj moja kwa 5000 inaathiri vipi watu wengine, au inaathiri vipi vitu vingine, ukipandisha bei ya mafuta unaleta mfumuko wa bei za bidhaa muhim. Nenda shule kaka nyny ndio wale mnaopelekwa kama makondoo!!
Kula kulala anajua nini huyo?
 
Wananchi tumechoka.

Hata hivyo mabadiliko huhitaji uongozi. Hayawezi kutokea kama mvua.

IMG_20220508_080117_022.jpg

Kibajaji amethubutu.

Tuungane kuwakataa wahuni.
 
Bia hazijapanda bei, kunyweni mpate akili ya kutafuta pesa nyingi mmudu mafuta…. sio kulialia tu.
 
Wasio wasanii tuwasubiri kutoka wapi na hadi lini kuongoza harakati za kuwakataa wahuni?
Tanzania yetu hakuna anayeweza kuongoza harakati, kila mtu mchumia tumbo tu. Hata akina Mbowe na Lisu wametiwa fupa la nyama mdomoni hawasikiki tena.

Kwenye kadhia kama hii hawaonekani kabisa.

Huyu Kibajaji ni attention seeker tu
 
Back
Top Bottom