goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Hapn kak mm nazunguzia kipindi cha corona na. 2021 mm nilikuwa na deal na weze kwanj kila sikunilikiwa natumia Lita 200 za diseli sas kipindi hcho 2020 kuja 2021 Bei ya Lita moja ya deseli ilikuwa 1690 na petroli 1780 mzee magu hakunganngania Bei iwe juu alishusha weze Hadi humu mlishangilia kwa Bei hyoHujui kitu wewe....alikua anayafata Uarabuni na trenii!!!...
Tafuta data kwenye soko la dunia bei ya pipa 2018 halafu 2022 halafu ulete tofauti..
Pmj na sifa za magu A kutaka kukusanya pesa ili kujenga miradi yake ila hakuguza wezee aliendele kukomaa na weZi tu na Wala rushwa namkumbuka Sana magu