EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Sawa kule tunaambiwa tukimkuna atatukuna vizuri huku akipuliza sijui kama ana habari na hii bei mpya
 
Tunalipia madhara ya vita!!...

Halafu kuna watu wanasifia Urusi kuvamia nchi nyingine....
Wapigane tu, shida viongozi hawajiamini, tushazoea utumwa sie Afrika. Mhindi anayununua mafuta kwa bei cheee tu. Sisi Afrika tunamuogopa bwana Marekani na waulaya.
 
Unazungumzia habari za mwezi April kwa kukaririshwa, au ni typing error?
 
Reactions: tbl
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…